Nataka kumuacha mke wangu

Nataka kumuacha mke wangu

Hahahahhahahah, Hizi ndoa zinavituko sana, sasa muende wote yeye anakuwa Field Assistant au? Mkuu waweza kuta wewe nawe michepuko mingi sasa anaamua kuchunga mzigo wake. Mtie mimba atulie nyumbani.
 
Hebu kwanza funguka, kazini anataka uende nae akafanye nini? isije ikawa ana sababu ya msingi kabisa, maana hapa hujafunguka vizuri.
 
bab-D

Nadhani kuna kubwa zaidi ya haya uliyotuambia hadi mke wako akawa na hizo tabia. jichunguze halafu kaa na mkeo mzungumze katika njia tofauti tofauti
1. kirafiki
2. kindugu
3. kifamilia

Huyo haitaji mazungumzo maana inaonekana hana akili,chapa makofi tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaah kuna visa vingine JF unaweza kucheka kumbe mwenzako anataka ushauri wa kweli.<br><br>Sasa fanya hivi mkuu, tafuta kalikizo cha muda kadhaa hivi ukipata rudi nyumban halafu hakuna kuacha kodi ya meza mkeo akiuliza kulikon unamwambia visa vyako vimenifukuzisha kazi haya tuangaliane uson sasa.
 
Mkeo ana mapungufu kama binadamu wengine me nakushauri mtafutie shughuli ndogondogo za kufanya mfano unaweza kumwanzishia biashara ndogo ili awe busy kuliko kukaa bila kazi wazungu wanasema idle brain is the devil's workshop
 
Inawezekana ww una mambo yako yanayomfanya awe hivyo.Napata tabu ku judge hapa kwani stori yako ni ya upande mmoja
 
Pole sana, najaribu kuwaza kwamba mkishaenda wote kazini anashinda ofisini au inakuaje? je umeweka mazingira ya yeye kuhisi wewe si mwaminifu?
 
Katika uumbaji mungu alimuumba mme kwanza na kisha akamuumba kiumbe kutoka kwenye ubavu wake ili awe msaidizi wake. Na mwanaume ni kichwa cha nyumba na amepewa akili nyingi za kufikiri ili kuweza kuiongoza familia ili khali mwanamke amepewa nguvu nyingi ili ailee familia,

nilichokiona kwako umeshindwa kutumia akili yako uliyopewa na Ndio maana ukaambiwa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu hivyo ishini nao Kwa akili, Ushauri wangu tumia uwezo wako wa kiakili uliopewa na Muumba
 
Tulia nae tu mkuu wanawake wote ndivyo walivyo.mimi tokea jana shemeji yako amenuna nikimuliza una tatizo gani ananiambia hana shida.mi niko busy na jf mpaka atakapoamuwa mwenyewe kuwa Ok.
 
Lol unanichekesha. Kwa hiyo ukimwambia siwezi kwenda nawe kazini anajigaragaza chini analia? Hahaha na wewe akichelewesha chai huwezi kwenda bila chai? Uwiii mbavu zangu mie! Nenda kazini mwambie chai akae nayo unalipwa mshahara utanunua chai huko au utapitia kwa mchepuko ukanywe!

Kwa hiyo wewe huwezi kumkataza mkeo kitu akasikia?aaah bwana hebu weka sura ya kazi wewe mwanaume bwana! Hahahaaa makubwa mwanaume anakosa sauti kiasi hiki! Hahahaaa ndooooorobo! bora nkanunue gazeti njipepeee!
 
Uvumilivi ni nguzo ya maisha,mkeo atakusaidia usimuache 'usiache mbachao kwa msaala upitao'
 
Ndio raha ya kuoa jobless na hukutaka kumtafutia cha kujishughulisha nacho, mvumilie tu(till death do u apart), huyo ndio chaguo na size yako.
Sasa hawa jobless wasiolewe atoto?
 
Katika uumbaji mungu alimuumba mme kwanza na kisha akamuumba kiumbe kutoka kwenye ubavu wake ili awe msaidizi wake. Na mwanaume ni kichwa cha nyumba na amepewa akili nyingi za kufikiri ili kuweza kuiongoza familia ili khali mwanamke amepewa nguvu nyingi ili ailee familia,

nilichokiona kwako umeshindwa kutumia akili yako uliyopewa na Ndio maana ukaambiwa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu hivyo ishini nao Kwa akili, Ushauri wangu tumia uwezo wako wa kiakili uliopewa na Muumba

Akili yake imeshindwa n ndio maana anaambiwa waende wote kazn..wape ushauri ndoa Yao inusurike
 
hahahahhahahah, Hizi ndoa zinavituko sana, sasa muende wote yeye anakuwa Field Assistant au? Mkuu waweza kuta wewe nawe michepuko mingi sasa anaamua kuchunga mzigo wake. Mtie mimba atulie nyumbani.

Kwenye mimba ya pili ndo ilikuwa shida zaid mkifika anatafuta sehemu analala kutapika had watu wanakushangaa
 
Lol unanichekesha. Kwa hiyo ukimwambia siwezi kwenda nawe kazini anajigaragaza chini analia? Hahaha na wewe akichelewesha chai huwezi kwenda bila chai? Uwiii mbavu zangu mie!

Nenda kazini mwambie chai akae nayo unalipwa mshahara utanunua chai huko au utapitia kwa mchepuko ukanywe! Kwa hiyo wewe huwezi kumkataza mkeo kitu akasikia?

aaah bwana hebu weka sura ya kazi wewe mwanaume bwana! Hahahaaa makubwa mwanaume anakosa sauti kiasi hiki! Hahahaaa ndooooorobo! bora nkanunue gazeti njipepeee!

Kwatabia zake nishapiga mpaka mimba ikatoka ndo maana nataka nimuache nisije ua bure
 
Tulia nae tu mkuu wanawake wote ndivyo walivyo.mimi tokea jana shemeji yako amenuna nikimuliza una tatizo gani ananiambia hana shida.mi niko busy na jf mpaka atakapoamuwa mwenyewe kuwa Ok.

Umenifanya nifurahi. . .
 
Back
Top Bottom