Recent content by Del vegus

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo orodha ya movie 10 bora kuhusu wachawi na wachawi

    Drag me to hell no mwisho wa maneno....ilipangwa ikapangika
  2. D

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

    Hapo umenena kwani kama kipo polis na sometimes polisi wanahusika na matukio afu hao hai wanapewa kazi ya kujipeleleza hahaha uhalifu utaendelea kama kikiendelea kuwekwa kwenye jeshi la polisi Bora kitolewe na iwe taasisi ya kujitegemea
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sura Mbaya, jambazi aliyeitikisa Tanzania kutoka Tabora

    Si wanasema serikali haiamin uchawi kumbe ni msemo tyu ila inaamini ...serikali ni raia na bila raia hakuna serikali so usemi wa serikali haiamin uchawi na maneno tyu....raia hawaamin uchawi hahahhaahha
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

    EMT, Mpaka mtu anakufa mnaangalia tyu na hao punch ilikua sio kutangaza ni kufatilia chinichini na mkijiridhisha mnatia kiberit mmoja mmoja tyu mbna ingesambaa hiyo punch
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi huu msemo una maana gani " Aliwazalo mjinga humtokea"

    Hivi huu msemo una maana gani " Aliwazalo mjinga humtokea"
  6. D

    JamiiForums Tanzania Gucci mane, Ni mmoja Kati ya Binadamu ambao anadaiwa kufanyiwa Clone

    Vp kuhusu 2pc wanasema yupo Cuba hai ni kweli au rumor tyu za watu?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

    Ok
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Upo Mkoa gan
Back
Top Bottom