Recent content by degera kichaa

  1. D

    Wafanyakazi wa SGR na Askari wa JWTZ wafariki katika ajali

    Mdaula kikosi gani mkuu komando wapo moro mzee 92
  2. D

    TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

    Baada ya huyo alitokea tena air msae wazee wa sendo usipimie kabisa
  3. D

    Katika hili, namwamini Shetani

    Msikubali kuingia kwenye huo mtego wa kulumbana shetani asije akafurahia ushindi
  4. D

    Katika hili, namwamini Shetani

    Hata kwa hivyo ulivyowaza bado Adam walikufa siku ile ile maana hawakuishi miaka elfu moja na neno la Mungu linasema kwa Mung siku moja ni sawa na miaka elfu moja
  5. D

    KKKT na mtego kwenye msiba wa Mengi

    Mi sio KKKT ni mrumi pure ila niseme tu kuwa kanisa kama kanisa halina shida kila kitu kiko wazi ila kama viongoz wakiamua kwa utashi wao kufanya hivyo haina maana ya kulilaumu kanisa wataulizwa wao acheni mengine yaendelee
  6. D

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Umenikumbusha mbali sana na wimbo wa mama maria mama bembeleza mwana
  7. D

    Idd Cheche umezingua,refa alichowafanyia Azam sio haki ,mpira wetu hautaendelea kamwe

    Kwani huoni kuwa mpira ulichezwa kwa mkono kabla ya kupigwa
  8. D

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya wazee wa betting hali ikoje leo
  9. D

    Nauza tv aina ya lg/samsung 43 inches led smart tv for only 450,000 tshs

    Hata mim nilishakutana naye kupatana eti anauza tv na hometheater kwa 450000 na akasema yuko njombe ile kumfuatilia akataka nimtumie hela ili anifungie mzigo nikamwambia mi niko moro ila nitaenda mwenyewe njombe kesho yake akaanza danadana dk 2 nyingi akageuka mchochezi
  10. D

    Wale wa School Bus msaada.

    The gate is white'(whitegate)
  11. D

    Uhuru Kenyatta: Hospitali aliyolazwa Lissu huko Nairobi kuongezewa ulinzi!

    Wakati jeshi letu linafuatilia wauaji wasiojulikana jeshi makini la kenya linamlinda lisu hongera kenyata Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Mwenye ujuzi wa namna ya kuunga chuma cha zinki anisaidie

    Wadau naomba yeyote mwenye ujuzi wa kuunga chuma cha zinki kilichokatika anijuze unaweza kuunga kwa kutumia nn? Pls nafasi yenu wahunzi kunijuza
Back
Top Bottom