Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
Habari zenu wana jamii
Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala
Natumia Samsung A02
Kwa nini tubebe maji baada ya semina kuisha?
1. Kunywa maji mengi na vinywaji vingine wakati wa semina kunaweza kukakuondolea utulivu wakati semina ikiendelea haja ndogo za hapa na pale haziishi.
2. Sio vizuri kunywa maji au vinywaji mara kwa mara ukiwa semina hiyo inaweza kukufanya ukaonekana...
Sioni sababu ya kuipongeza serikali kwa lolote lile kwa kuwa hayo ni majukumu yake na yapo kikatiba ila wasipofanya ni lazima tuwaulize kwa kuwa watakua wanaikanyaga katiba yetu
Habari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and literature). Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi na computer applications.
Natafuta nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.