Recent content by Decruise

  1. Decruise

    JamiiForums Tanzania Natafuta Internship au kibarua

    Habari za kazi ndugu wana jamii forum kwa majina naitwa mimi ni mhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT katika kozi ya transport and logistic in road and railway. Nimekuja jukwaani kwa lengo moja tu la kutafuta internship au kazi ya moja kwa moja ili kukuza carrier yangu. Nafasi ambazo...
  2. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Tutacheza hata siku nyngne simu yangu ina asilimia 10
  3. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Kwenda kucheza?
  4. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    💯
  5. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Ndio
  6. Decruise

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya kazi

    Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa. Elimu yangu ni degree ya usafirishaji na logistiki kwa ujumla naweza nikafanya kazi kama afisa usafirishaji yaani...
  7. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Nimeshaona kiongozi.sema naomba nifundishe namna ya ku send request kwa kutumia username tu.
  8. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Okay nimekupata, kiongozi.
  9. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    saizi au
  10. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    finest cruise
  11. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    naweka akat mpo hoi
  12. Decruise

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    leta code na makala yako
  13. Decruise

    JamiiForums Tanzania Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  14. Decruise

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii siyo sawa, unawapa Taifa Stars Tsh milioni 700 na kuna shule zina hali mbaya

    Kwan wew unataka iwaje au kuna uhusiano wa siasa na mpira🥱
  15. Decruise

    JamiiForums Tanzania Buguruni, Dar: Mtoto wa miaka 10 akutwa amejinyonga chumbani kwake

    Tuombe mungu vifo vishakua vng juz kariakoo mara shabiby leo kujinyonga badly enough mtot miaka kumi 10 hna majukumu yoyote
Back
Top Bottom