Recent content by decruca

  1. D

    JamiiForums Tanzania Bahati bukuku na utajiri wa kutisha

    hv ukiishi kwenye ghorofa ndio tajiri wa kutisha eee?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    yaani hata mwenzio natumaini ha enjoy kabisa maana anaona una kibamia, sasa mkae chini mzungumze manakubaliana na hali zenu au? maana sio unalalamika nyumba kubwa na wakati wewe pia huna furniture za kuijaza wapo wenzio wanatafunta nyumba kubwa! usikimilie kumlaumu mwenzio nawe jua una kasoro...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Yaani ulichofanya unaona ni sahihi! ? Kuwa mpole ujue mtoto yuko wapi! Pengine kuna makubwa usiyoyajua kuonekana kwako kunawatia watu hasira na uchungu! Una uhakika mtoto yupo?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nitawasemehe wote walionikosea, lakini siyo huyu mwalimu

    Nilifikiri labda alikulawiti! Kaaa kuchapwa tu usimsamehee mtu! Wewe utakuwa umelelewa kimayai sana. Mi nilichapwa na fimbo ina vifundo ikanitoboa mkono hadi leo alama ninayo na miaka zaidi ya 20. Huwa nikikutana na huyo mwal hadi hela ya soda nampa wala sina kinyongo kabisa! Samehe. Nawe...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

    Kama hujui kitu bora unyamaze kama nyalandu ni mbunge wa Iramba Mwigulu naye ni mbunge wa wapi?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Balaa tupu! Diamond, Ally Kiba wakutana ukumbini, wachuniana!

    Ali kiba ndio nani?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Cake nzuri ya birthday

    Mansese NY!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel karibia anajifungua mimba ya mcheza show wa Diamond

    You are right!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Diamond kupata mtoto

    Congratulations Dai!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

    Hakuwa chaguo lake ina maana alilazimishwa? Hv wokovu wake uko wapi kama hawezi kusamehe? Mtoto mdogo anang'ang'ania talaka. Kwa hiyo maisha ya uzinzi ndio anayapenda! Flola kama unapita humu rudi kwenye ndoa yako huyo gwajima ipo siku atakutema tu. Au unadhani wewe ni special sana? I wish...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye: Mtambo wa kupaki magari watengenezwa

    Haitakaa itokee!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Salma Kikwete

    Boss 0(Vil. L 1
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Salma Kikwete

    Mama salama kikwete ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa ngulunyenye!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Mbona kabla ya mgogoro alishasemaga hana mpango wa kugombea tena?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa siri ya utajiri wa Ridhiwan Kikwete

    Ingewekwa orodha ya mali zake tujue huo ubilionea uko wapi!
Back
Top Bottom