Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
 
Kwahiyo chaguo lake ni kwajima
 
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo.
Source: gazeti Mzalendo.

Hivi inamaana walishaachana tokea ile movie ya Gwajima, shemejiye Mbasha, na mr&mrs Mbasha iliishia kuachana kabisa!
kwa maisha ya siku hizi kuoa ni kipaji
 
Jamaa anakosea,ingekuwa ni mimi ningemtafuta mrembo mkali,mbona flora kashazeeka libonge,huwezi kumfananisha na jamaa,ningekuwa Mimi ningeshukuru mungu kunifanya free ningeoa katoto cha kuanzia miaka 20,jamaa naye zumbekuku kweli

jamaa mzuri mkewe haoni ndani, labda ana hofu ya mungu plus mapenzi ya kweli kwa mkewe ndo maana bado anakomaa hapo
 
Hakuwa chaguo lake ina maana alilazimishwa? Hv wokovu wake uko wapi kama hawezi kusamehe? Mtoto mdogo anang'ang'ania talaka. Kwa hiyo maisha ya uzinzi ndio anayapenda! Flola kama unapita humu rudi kwenye ndoa yako huyo gwajima ipo siku atakutema tu. Au unadhani wewe ni special sana? I wish babu yako angekuwa hai sidhani kama angeshabikia ujinga unaoufanya. God will show u.
 
Emma we hendsam bana, achana na huyo flora mwili futufutu ka kiroba! Chamsingi mchukue mtoto wako umlee wewe.
 
Watu wengine bwana...hivi Flora kinachomzuzua ni nini? Sura mbovu shepu hovyo..... Ningekuwa ndo mimi na sura yangu mbovu hii nipate mwanaume kama Emmanuel yan ningekuwa mpole kama nanyolewa

Umesahau na lisauti lake la ajabuu
 
Mzee Kulola aliipinga sana hiyo ndoa!! Alisema Flora bado mdogo, na huyo kijana hajatulia... Wapambe kama kawaida wakaleta maneno eti wanamnyima sababu dreva taxi maskini!! Kumbe mzee alioba mbali
 
Hiyo ya Gwajima ni kichaka Imma anachojifichia ngojeni iende mahakamani mtaskia meeengi!!!
 
Hakuwa chaguo lake ina maana alilazimishwa? Hv wokovu wake uko wapi kama hawezi kusamehe? Mtoto mdogo anang'ang'ania talaka. Kwa hiyo maisha ya uzinzi ndio anayapenda! Flola kama unapita humu rudi kwenye ndoa yako huyo gwajima ipo siku atakutema tu. Au unadhani wewe ni special sana? I wish babu yako angekuwa hai sidhani kama angeshabikia ujinga unaoufanya. God will show u.

Labda mbunye yake spesheli sana kiasi kila mwezi inacheua midolali ka ATM vile ptyuuuu
 
Wanawake ni kama denge akiwa kwenye tawi hili hupiga miruuziii mitamu kama Ishara ya kuusifia mti alioukalia kwa wakati huo,

lakin denge huyohuyo akiona tawi jingne pembeni hulinyea la zaman na kisha kuruka kwenda jingne kwa malingo na mbwembwe zisizo kifani.

Huyu mwanamama hatar sana hafai hata kuimba nyimbo za injili....
Hatuombieni mema wala mabaya but this woman is a dangerous creature indeed!...na kama mbasha kweli alibaka au laa bado sio tikiti ya kusema haya kwani aliaaa wakat wa kuoana nae...women aaahahhaaa bna wanajijua wenyewe
 
Back
Top Bottom