Tangu kuanzishwa kwa LAW SCHOOL OF TANZANIA mwaka 2008 kulikuwepo na utaratibu wa kutoa mkopo kwa wanafunzi wote wanaodahiliwa kusoma LAW SCHOOL OF TANZANIA, pesa hiyo imekua ikitoka Wizara ya Katiba na Sheria. Lakini ilipofika mwaka jana sheria ya bodi ya Mkopo ilibadilishwa na kuingizwa...
kuwa great thinker kama jina la mtandao. usiwe mvivu wa kufikiri kwa kila ufanyalo. shirikisha fikra zako watu wajue mawazo yako wakusomapo. hivo wanafunzi wa vyuo vikuu wanamchango mkubwa kwenye mchakato wa katiba. JIOJI mwenyewe je walitakiwa kubaguliwa kwa presumption tu. au wangewasikiliza...
Tangu mwaka jana TUME YA KATIBA MPYA ilipoanza kukusanya maoni ya katiba mpya imekuwa ikibagua jinsi ya kukusanya maoni na mpaka hivi sasa kundi la wanafunzi wa vyuo vikuu halijafikiwa katika kukusanya maoni na wanasema kwamba wanajiandaa kuandika rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa...
Ingekuwa kina mama wametembelewa na viongozi wa CHADEMA wanawake hao wangeitwa wanachadema, lakini wakitembelewa ni viongozi wa CCM wanaitwa wananchi/wanawake/wanaume na si wanaCCM sishangai maana kilichoandikwa ni cha wale ambao waliamini hawezi kuwaongoza ila Nassari nae amezidi Ashauriwe...
Mbona wacha ngiaji kwenye mambo ya lugha za kigeni wanapungua, naamini asilimia kubwa ya mawazo aliyonayo Zitto ni mazuri kwa maendeleo ya Taifa letu ila kuna watu ambao wamefundishwa na wamelelewa na makundi ya watu fulani kubisha BUT Hon Zitto dont give up, you will overcome all tyranny.
BADO kumbe wengine wana majina fikra na uchambuzi unadhihirisha uvivu wa kufikiri, Yaani yeye anaona SENSA inafanyika Iringa tu, na je kama CHADEMA ndio walivunja amri kwa nini waue mwandishi wa habari na si viongozi wa CHADEMA mabao hawakutii amri sio hivyo kwa nini...
nAANZA NA MASWALI ALFU NITAELEZEA MAELEZO YA ZIADA jE VIJIWENI HAKUNA WASOMI ? jE form six sio msomi? Je katika mateja hamna wasomi ? Je msomi ni nani ? Kwa mtizamo wangu aliyefanya utafiti aliufanya kiushabiki badal ya kuangalia vigezo vya kitu anacho kifanyia...
DODOSO REFU kwa siku 11 za semina kila siku 35000, DODOSO FUPI kwa siku 7 za semina kwa siku 35000. Na zoezi la sensa 250000 na pesa ya nauli 35000 kwa siku saba ila usimdai kwa fujo nenda polepole
Wanasheria ndio watakua walishauri kukata rufaa kwani mabere marando alisema kutokukata rufaa hukumu ya kesi ile itakuwa bad precedent maana chadema siyo chama cha kuchangia maendeleo mengine hata maeneleo ya sheria pia. Hakuna cha kuogopesha CDM kuingia kwenye uchaguzi
kwa aliyenipa taarifa ndio alinimislead but yote yanausisha serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu haziruhusiwi kufanya siasa za vyama vya upinzani ila CCM ni sawa
suala la uniform na vitambulisho yanatangazwa kwenye vyombo vya habari hata juzi watu wa NBS walihojiwa karani atatambulikaje wakasema kuna uniform zipo. Kwa mtizamo sensa hii na mwendo huu haitafana.
Kwa habari kutoka kwa badhi ya Maraisi wa vyuo viku inasemekana mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi vyuo vikuu anagombea ujumbe wa NEC-CCM ambapo katikati ya wiki hii aliwakutanisha baadhi ya maraisi wa vyuo vikuu katika ofisi ya TAKUKURU na viongozi baadhi wa CCM. Right ingekuwa anagombea CDM au...
Ni siku ya ijumaa ambapo makarani wa sensa halmashauri ya manispaa ya Musoma walipokutana kupokea posho ya kazi ya sensa. Makaran kwa uvumilivu wao wamepewa pesa mida ya Saa kumi na moja wakikuta pesa imeongezeka tofauti na mkataba unavyoonyesha. Pesa hiyo ni shilingi 7000 kwa kila karani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.