Recent content by De Fantastico

  1. D

    Rais Magufuli na timu yako yote chapeni kazi, miluzi mingi isiwapotezee muelekeo

    Wenye akili wanakumbuka shida tulizopata kwenye zama za ukweli na uwazi, hata kipindi cha JK hatukuwahi tunammisi mmakua, Awamu ya 6 inaweza kuwa na mapungufu yake na itasemwa lakini hatutaimmiss huyu jamaa Kama ambavyo hatumkumbuki mmakua wa Lushoto
  2. D

    Vyama vya upinzani havina wazalendo/uzalendo ndo maana havitashika dola hadi vitakapofahamu ukweli huu

    Salaam enyi wanajamii wenzangu, Nisingependa kutumia maneno mengi kabla cjaingia kwenye mada husika Nimekaa nikafikiria uzalendo ni nini na mzalendo ni nani, nikaja kukumbuka fasili rahisi kabisa niliyojifunza nikiwa kidato cha pili kuwa uzalendo ni hali ya kuipenda kwa dhati nchi yako hadi...
  3. D

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    We mtoto wa mtwara kumbe upo huku, daah longtime classmate Ndanda boys HGL Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Nani afanye nini ili kuridhishana kwenye tendo la ndoa?

    Salaam wana jamvi!! Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto. Nirudi kwenye mada husika, katika miaka yetu hii wapenzi wanapitia changamoto nyingi mno hasa kwenye suala la...
  5. D

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Aaaah kwaresma ndo imeanza kumbe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Nani afanye nini ili kuridhishana katika tendo la kujamiiana?

    Salaam wana jamvi!! Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto. Nirudi kwenye mada husika, katika miaka yetu hii wapenzi wanapitia changamoto nyingi mno hasa kwenye suala la...
  7. D

  8. D

  9. D

    TAMISEMI yatangaza Nafasi za kazi 4549 kwa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari

    Karibu utudangie tu bado tunahitaji huduma hii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Nauza Gari

    Nipo Same Kilimanjaro Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Nauza Gari

    220 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Nauza Gari

    Gari haina tatizo mm ndo ninatatizo la pesa c unajua January hii Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Nauza Gari

    Nauza gari ndogo Nissan Model BlueBird Year 2004 Cc 1497 Bei 3.5 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    Muda sahihi wa kusubiri majibu ya interview

    Habarini wana dawati, naomba kifahamishwa hivi kwa kawaida inachukua muda gani kupewa majibu kwa mtu aliyefanya usahili, je ukifanya usahili halafu ukakosa unatumiwa taarifa?na je ni vibaya mtu akipiga simu kuuliza kama amepata au amekosa nafasi aliyofanyia usahili Sent using Jamii Forums...
  15. D

    Hivi kwanini wanawake wenye akili na heshima hatuolewi?

    Kwasababu ni abnormality kuwa na vyote
Back
Top Bottom