Muda sahihi wa kusubiri majibu ya interview

De Fantastico

Member
Nov 30, 2018
15
6
Habarini wana dawati, naomba kifahamishwa hivi kwa kawaida inachukua muda gani kupewa majibu kwa mtu aliyefanya usahili, je ukifanya usahili halafu ukakosa unatumiwa taarifa?na je ni vibaya mtu akipiga simu kuuliza kama amepata au amekosa nafasi aliyofanyia usahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiona kimya ujue umekosa. Hii sio nzuri kabisa. Ilitakiwa angalau wanakujulisha kuliko kukaa kimya. Kama umefanya interview ukiona kimya baada ya kama wiki hivi hapo jiongeze tu mkuu.
 
Muda wa kusubiri ni at least wiki 2 napia sio lazima interviewees walioshindwa wajulishwe ingawa ni best recruitment practice kuwajulisha wote waliofanya usaili. Kupiga simu hiyo ni utovu wa nidhamu na kitaalam inaitwa canvassing ni moja kati ya solid ground ya kuwa disqualified.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishafanya usaili na NGOs mbili na nikaambiwa nimefauru so nisubili contract negotiations, nilikaa wiki kimya nikaamua kuvuta waya jibu nililipewa ni kuwa uamuzi ulibadilishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabid watoe muda muafaka wa matokeo kuliko kusubir zen amna naona wakitoa deadline every body atakaa safe side
 
Back
Top Bottom