Vyama vya upinzani havina wazalendo/uzalendo ndo maana havitashika dola hadi vitakapofahamu ukweli huu

De Fantastico

Member
Nov 30, 2018
15
6
Salaam enyi wanajamii wenzangu,
Nisingependa kutumia maneno mengi kabla cjaingia kwenye mada husika

Nimekaa nikafikiria uzalendo ni nini na mzalendo ni nani, nikaja kukumbuka fasili rahisi kabisa niliyojifunza nikiwa kidato cha pili kuwa uzalendo ni hali ya kuipenda kwa dhati nchi yako hadi kufikia hatua ya kuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yako, na mzalendo ni mtu mwenye hayo mapenzi ya kiasi hicho kwa nchi yake. Nilipoachana na fasili hizi nikaja kuangazia hali ya kisiasa nchini mwetu kwa kurejea matamko,matendo na kauli mbalimbali za vyama vya upinzani kipindi linapotokea jambo ambalo ni aidha linatishia maslahi ya taifa, maslahi ya demokrasia au ubinadamu. Mara nyingi kama sio zote viongozi wa upinzani wameishia kulalamika, kutoa maazimio yasiyotekelezwa au kutishia. Kauli kama "Na hili litapita", "watanzania watachoka", "vizazi vyetu vitakuja kuwahukumu" na kauli zingine kama hz ni dalili za kukosa uzalendo.

Licha ya madhaifu mengi waliyokua nayo ccm ila kuna kitu kizuri najifunza kwao kuhusu uzalendo, nacho ni kuamini kama wao wana msingi wa uzalendo na wapo tayari kupigania wanachokiami kwa kua wao wenyewe wanaamini kuwa wao ni wazalendo. Na kutokana na hili wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanalolitaka linatimia kwa kutumia propaganda, ushawishi, dola, nguvu, vurugu na ikiwezekana hata kufa ili mradi tu wafanikiwe kwenye wanachokiamini. Hapa sasa ndo nakumbuka wimbo wa Joh makini anaposema "Simwachii Mungu", ila upinzani wamekua mabingwa wa kumwachia Mungu ndo maana wakitetemeshwa kidogo tu wanahanya,

Labda mm sio mpangiliaji mzuri wa hoja zangu ila ukweli ni kwamba wapinzani wanatakiwa kujua hakuna nchi inaongozwa na watu ambo hawapotayari kufa kwa ajili ya nchi yao (angalia hata nchi jirani), na ndo maana ccm hawakubali kuwaachia nchi hata pale inapoonekana mmeshinda kama kule znz mwaka 2015 sababu wanajua hampo tayari kuifia nchi, ili upinzani ushike dola ya nchi hii tunahitaji viongozi wenye mawazo mapya ya kupigania haki na maslahi ya nchi hata ikilazimika kumwaga damu na imwagike la sivyo mtaishia kumwachia Mungu na kulalamika kuwa mmeibiwa kura au mmenyanyaswa na ccm au dola hadi dunia iishe. Hivyo basi ifikie kipindi tupate wazalendo wa kweli kwenye vyama vyetu ili watuunganishe na kutupa maendeleo halisi ya kidemokrasia na uhuru wa kweli sio hawa wanaokaa kwenye vyeo hadi mawazo yao yanaexpire kisa tu wanahitaji kumiliki ruzuku za chama au kupata tu heshima ya kuwa viongozi

Nawasilisha

NB: Haya ni mawazo na mtazamo wangu kama mwanajamii nisiyefungwa na upande wowote ila nchi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo ulijifunza kidato cha pili? Uzalendo kwa taarifa yako haufundishwi Unazaliwa nao.Je Ukiwa fisadi wewe katika Nchi yako wewe ni mzalendo? je Mafisadi wako Chama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je uzalendo ni kuwa mwanachama wa CCM tu sipati maana katika mada yako dhaifu.
 
Uzalendo ulijifunza kidato cha pili? Uzalendo kwa taarifa yako haufundishwi Unazaliwa nao.Je Ukiwa fisadi wewe katika Nchi yako wewe ni mzalendo? je Mafisadi wako Chama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisadi wapo kila chama mkuu. Kuna wale wanaopata ruzuku ndefu tu lakini ofisi yao pale kinondoni ni vichekesho vitupu. Jiulize wakipewa dhamana ya ikulu watapiga pesa kwa namna ipi.
 
Hakika ukiwa mzalendo hutatumia nguvu za kidola kutulazimisha kukuona kuwa wewe ni mzalendo. Mbona mimi ninajibidiisha sana kutafuta riziki ya kila siku na kodi zote stahiki ninalipa na sipiti barabarani kuwaambia watu kwamba mimi ni mzalendo au kuwaambia watu waniige mimi. Uzalendo upo moyoni, mbwembwe nyingine zote ni kufunika udhaifu wa maamuzi ya utendaji ambayo mwisho wa siku yanatusababishia kupata hasara kubwa.
 
Salaam enyi wanajamii wenzangu,
Nisingependa kutumia maneno mengi kabla cjaingia kwenye mada husika

Nimekaa nikafikiria uzalendo ni nini na mzalendo ni nani, nikaja kukumbuka fasili rahisi kabisa niliyojifunza nikiwa kidato cha pili kuwa uzalendo ni hali ya kuipenda kwa dhati nchi yako hadi kufikia hatua ya kuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yako, na mzalendo ni mtu mwenye hayo mapenzi ya kiasi hicho kwa nchi yake. Nilipoachana na fasili hizi nikaja kuangazia hali ya kisiasa nchini mwetu kwa kurejea matamko,matendo na kauli mbalimbali za vyama vya upinzani kipindi linapotokea jambo ambalo ni aidha linatishia maslahi ya taifa, maslahi ya demokrasia au ubinadamu. Mara nyingi kama sio zote viongozi wa upinzani wameishia kulalamika, kutoa maazimio yasiyotekelezwa au kutishia. Kauli kama "Na hili litapita", "watanzania watachoka", "vizazi vyetu vitakuja kuwahukumu" na kauli zingine kama hz ni dalili za kukosa uzalendo.

Licha ya madhaifu mengi waliyokua nayo ccm ila kuna kitu kizuri najifunza kwao kuhusu uzalendo, nacho ni kuamini kama wao wana msingi wa uzalendo na wapo tayari kupigania wanachokiami kwa kua wao wenyewe wanaamini kuwa wao ni wazalendo. Na kutokana na hili wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanalolitaka linatimia kwa kutumia propaganda, ushawishi, dola, nguvu, vurugu na ikiwezekana hata kufa ili mradi tu wafanikiwe kwenye wanachokiamini. Hapa sasa ndo nakumbuka wimbo wa Joh makini anaposema "Simwachii Mungu", ila upinzani wamekua mabingwa wa kumwachia Mungu ndo maana wakitetemeshwa kidogo tu wanahanya,

Labda mm sio mpangiliaji mzuri wa hoja zangu ila ukweli ni kwamba wapinzani wanatakiwa kujua hakuna nchi inaongozwa na watu ambo hawapotayari kufa kwa ajili ya nchi yao (angalia hata nchi jirani), na ndo maana ccm hawakubali kuwaachia nchi hata pale inapoonekana mmeshinda kama kule znz mwaka 2015 sababu wanajua hampo tayari kuifia nchi, ili upinzani ushike dola ya nchi hii tunahitaji viongozi wenye mawazo mapya ya kupigania haki na maslahi ya nchi hata ikilazimika kumwaga damu na imwagike la sivyo mtaishia kumwachia Mungu na kulalamika kuwa mmeibiwa kura au mmenyanyaswa na ccm au dola hadi dunia iishe. Hivyo basi ifikie kipindi tupate wazalendo wa kweli kwenye vyama vyetu ili watuunganishe na kutupa maendeleo halisi ya kidemokrasia na uhuru wa kweli sio hawa wanaokaa kwenye vyeo hadi mawazo yao yanaexpire kisa tu wanahitaji kumiliki ruzuku za chama au kupata tu heshima ya kuwa viongozi

Nawasilisha

NB: Haya ni mawazo na mtazamo wangu kama mwanajamii nisiyefungwa na upande wowote ila nchi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo ni kuuza maliasili ,madini kiitumbukiza nchi kwenye lindi la umaskini kisha kuwalalamikia wasio na mandate.kuingia mikataba mibovu sheria kupitishwa huku mic na wafuasi wake wakikatika viuno mjengoni kuwafurahisha mabeberu huo ndio uzalendo jinga lao kabisa.kutowapa elimu bora wananchi wake.wazalendo awamu ya kwanza waliacha chuo kikuu kimoja chenye wanafunzi wasiozidi elfu 5 miaka yote. kama tanzania ni maskini ni CCM PEKEE itajibu vizazi na vizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam enyi wanajamii wenzangu,
Nisingependa kutumia maneno mengi kabla cjaingia kwenye mada husika

Nimekaa nikafikiria uzalendo ni nini na mzalendo ni nani, nikaja kukumbuka fasili rahisi kabisa niliyojifunza nikiwa kidato cha pili kuwa uzalendo ni hali ya kuipenda kwa dhati nchi yako hadi kufikia hatua ya kuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yako, na mzalendo ni mtu mwenye hayo mapenzi ya kiasi hicho kwa nchi yake. Nilipoachana na fasili hizi nikaja kuangazia hali ya kisiasa nchini mwetu kwa kurejea matamko,matendo na kauli mbalimbali za vyama vya upinzani kipindi linapotokea jambo ambalo ni aidha linatishia maslahi ya taifa, maslahi ya demokrasia au ubinadamu. Mara nyingi kama sio zote viongozi wa upinzani wameishia kulalamika, kutoa maazimio yasiyotekelezwa au kutishia. Kauli kama "Na hili litapita", "watanzania watachoka", "vizazi vyetu vitakuja kuwahukumu" na kauli zingine kama hz ni dalili za kukosa uzalendo.

Licha ya madhaifu mengi waliyokua nayo ccm ila kuna kitu kizuri najifunza kwao kuhusu uzalendo, nacho ni kuamini kama wao wana msingi wa uzalendo na wapo tayari kupigania wanachokiami kwa kua wao wenyewe wanaamini kuwa wao ni wazalendo. Na kutokana na hili wanatumia kila mbinu kuhakikisha wanalolitaka linatimia kwa kutumia propaganda, ushawishi, dola, nguvu, vurugu na ikiwezekana hata kufa ili mradi tu wafanikiwe kwenye wanachokiamini. Hapa sasa ndo nakumbuka wimbo wa Joh makini anaposema "Simwachii Mungu", ila upinzani wamekua mabingwa wa kumwachia Mungu ndo maana wakitetemeshwa kidogo tu wanahanya,

Labda mm sio mpangiliaji mzuri wa hoja zangu ila ukweli ni kwamba wapinzani wanatakiwa kujua hakuna nchi inaongozwa na watu ambo hawapotayari kufa kwa ajili ya nchi yao (angalia hata nchi jirani), na ndo maana ccm hawakubali kuwaachia nchi hata pale inapoonekana mmeshinda kama kule znz mwaka 2015 sababu wanajua hampo tayari kuifia nchi, ili upinzani ushike dola ya nchi hii tunahitaji viongozi wenye mawazo mapya ya kupigania haki na maslahi ya nchi hata ikilazimika kumwaga damu na imwagike la sivyo mtaishia kumwachia Mungu na kulalamika kuwa mmeibiwa kura au mmenyanyaswa na ccm au dola hadi dunia iishe. Hivyo basi ifikie kipindi tupate wazalendo wa kweli kwenye vyama vyetu ili watuunganishe na kutupa maendeleo halisi ya kidemokrasia na uhuru wa kweli sio hawa wanaokaa kwenye vyeo hadi mawazo yao yanaexpire kisa tu wanahitaji kumiliki ruzuku za chama au kupata tu heshima ya kuwa viongozi

Nawasilisha

NB: Haya ni mawazo na mtazamo wangu kama mwanajamii nisiyefungwa na upande wowote ila nchi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo maana yake ni nini?
 
1111907
 
wapinzani wanatakiwa kujua hakuna nchi inaongozwa na watu ambo hawapotayari kufa kwa ajili ya nchi yao (angalia hata nchi jirani), na ndo maana ccm hawakubali kuwaachia nchi hata pale inapoonekana mmeshinda kama kule znz mwaka 2015 sababu wanajua hampo tayari kuifia nchi, ili upinzani ushike dola ya nchi hii tunahitaji viongozi wenye mawazo mapya ya kupigania haki na maslahi ya nchi hata ikilazimika kumwaga damu na imwagike la sivyo mtaishia kumwachia Mungu na kulalamika kuwa mmeibiwa kura au mmenyanyaswa na ccm au dola hadi dunia iishe.
Duh! Mkuu Fantastico, this is fantastiki. Bandiko hili ni la uchochezi, yaani unataka wapinzani wamwage damu zaidi ya iliyokwisha mwagika, huku unakiri CCM hawatakubali kuachia nchi!.

Kwa Tanzania, vyama vya upinzani havitashika dola simply kwa sababu Tanzania hatuna upinzani makini na upinzani imara, hivyo CCM itaendelea kutawala milele na huu ndio ukweli wenyewe halisi uliopo hata uwe mchungu vipi?

P
 
Back
Top Bottom