Recent content by daztheinvisible

  1. daztheinvisible

    Primal, season moja kali sana

    Mira[emoji16]
  2. daztheinvisible

    Kimkakati, Urusi imeshindwa vita ya Ukraine

    Russia [emoji635] hapigani na Ukraine [emoji1255] only bali na mataifa ya ulaya plus USA [emoji631] Jiulize misaada ya finance and silaha anazopata Ukraine kutoka mataifa ya ulaya na USA ni sawa na asilimia ngapi ya jeshi la marekani
  3. daztheinvisible

    Huyu mwanamke kila akinihitaji kimapenzi ndio nampata, nikimhitaji hapatikani kabisa

    Simply huyo ana mtu wake jus kunakuwa na misunderstanding smtyms na ww wa kutolea stress au wako mbali Ukitaka kujua just na ww play hard to get
  4. daztheinvisible

    Serikali yaagiza mamlaka husika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu

    Ww ushaambiwa ule kwa urefu wa kamba yako ila usile sana😵😵 chengaa tuuu hii nchi
  5. daztheinvisible

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Z _ _. _.. . . ¢
  6. daztheinvisible

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Nilijiuliza kama ww ndugu.. Nani mnufaika haswa na mwathirika wa moja kwa moja wa haya maamuzi.. Viwanda vingi vya kimataifa vina branches kenya hii hupelekea makampuni mengi haswa makubwa kuagiza material hizo kwa dharula kutoka kenya sasa usikie kiwanda kama azania kimekosa sm enzymes za...
  7. daztheinvisible

    Awamu Ya 5 Vibanda ; Uchafu na Machinga Kila Mahali Kwenye Majiji

    Najua kila mtu anatafuta kipato ila si sawa..mfano jiji la dar es salaam barabara ya uhuru kutok karume hadi kongo..inakuladhimu utembee ndani ya barabara sababu hifadhi ya kwenda kwa miguu hapapitiki kabisa ..ni sehemu hatari sana kwa waenda kwa miguu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. daztheinvisible

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Placebo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. daztheinvisible

    Ukiangalia video ya uzinduzi wa kipindi cha Aridhio TBC Utajiuliza mengi

    Incubation period ya virusi ni 14 days but mtu anaweza kuwa mgonjwa hata ndan ya siku mbili or laa depending with ur immune system pia na maradhi mengine uliyonayo mfano sukar. BP, Vascular disease n more.. Pia wapo waliopata will show only moderate symptoms na wengine kuwa wagonjwa mahututi...
  10. daztheinvisible

    Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

    Tujuzane best animated series hapa starting with 1. Bojack Horsemen 2. The Simpsons 3. Ricky and Morty Tafadhali ongezea nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  11. daztheinvisible

    Series (Special thread)

    The Outsider... Is dope Sent using Jamii Forums mobile app
  12. daztheinvisible

    Photographers' Corner

    Street to hindumandal hospital #daressalaam
  13. daztheinvisible

    Nani alirekodi mazungumzo kati ya Kinana na Nape? Nani alisambaza? Kwa maslahi gani

    Sure n kabisa... Yani na anawezaje kuweka majina ya waunga mkono means waliotengeneza kuna watu wana watafuta....at least could use whatsapp call which is encrypted this is decorated
Back
Top Bottom