Serikali yaagiza mamlaka husika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu

Kwa namna jambo hili lilivyo kaa inapaswa Rais atoe kauli, si jambo dogo hili!

Wananchi wameumizwa sana na uandaaji wa bei za didhaa mbalimbali nchini.

Hasa mafuta ya kula, sukari, na vifaa vya ujenzi
Ww ushaambiwa ule kwa urefu wa kamba yako ila usile sana😵😵 chengaa tuuu hii nchi
 
Nadhani wafanyabiashara walijiachia kipindi kile tunaanza uongozi,tukawatangazia wazi wazi kuwa walionewa sanaaaa,...tukasema tuwabembeleze tu maana ni waaminifu tu...

Kama waziri anasema gharama za uzalishaji hazijapanda,hizi bei zilizopanda kwa bidhaa karibia zote itakuwa wafanyabiashara wamekengeuka dhidi ya imani tuloweka kwao wakati tunaanza uongozi
 
Ila kwa vifaa vya ujenzi, mheshimiwa chui alisema vimepanda bei kwasababu ya ujenzi wa madarasa Nchi nzima,..tena alisisitiza kuwa vimepanda bei kidogo tu,nadhani waziri hakumsikia majibu tayari yapo
 
😳😳😳😳 yaani ndio zimeshawekwa kwenye nyumba mkuu
 
Naomba nisimwite Mh Waziri,pengine hizi hashima zinawafanya kuwa na viburi kujiona wao ni wao na sisi ni sisi.

Hivi majuzi,alijtokeza na kutaka mamlaka zinazo uska, na upandishwaji wa vifaa vya ujenzi zijitokeze zijibu Kwa Nini vinapanda.

Katika press alionesha na yeye hajui kitu au sababu Kwa Nini vinapanda mpaka leo Bado vinazidi kupanda Sasa anafanya Nini ofisini?

Tunasema wakina mama mnaweza ila wengine ni mizigo jipigeni chini life liendelee.

Waziri mama jiuzuru. Wizara imekushinda tangu umetoa maelekezo Yako uchwara mpaka leo vifaa vinazidi kupanda.
 
Hivi umeandika kitu gani? Unaweza kuwa una hoja ila uwasilishaji sifuri kabisa!!
 
Naomba nisimwite Mh Waziri,pengine hizi hashima zinawafanya kuwa na viburi kujiona wao ni wao na sisi ni sisi.

Hivi majuzi,alijtokeza na kutaka mamlaka zinazo uska, na upandishwaji wa vifaa vya ujenzi zijitokeze zijibu Kwa Nini vinapanda.

Katika press alionesha na yeye hajui kitu au sababu Kwa Nini vinapanda mpaka leo Bado vinazidi kupanda Sasa anafanya Nini ofisini?

Tunasema wakina mama mnaweza ila wengine ni mizigo jipigeni chini life liendelee.

Waziri mama jiuzuru. Wizara imekushinda tangu umetoa maelekezo Yako uchwara mpaka leo vifaa vinazidi kupanda.
Kwani waziri wa viwanda an uhusiano gani na mfumuko wa bei, hivi nyie mlisomea wapi uchumi?
 
Kwani waziri wa viwanda an uhusiano gani na mfumuko wa bei, hivi nyie mlisomea wapi uchumi?
Shwaini tulisomea kwenye kaburi lako, vifaa vya ujenzi vinaendana vip na mfumuko?je yeye hausiki kukontro mfumuko wa bei?wewe naisi ulisomea ukerewe sio bure
 
Nilikua nanunua mayai ya kienyeji tray kwa 12,000 jana nimekuta 15,000 naacha kula mayai shenzi
 
Ni ujinga na ni viongozi mandondocha.Huwezi kupambana na inflations kwa kuchukulia watu hatua.

Inflation ni tatizo la kiuchumi ambalo linapaswa kutatuliwa kwa kutumia taratibu za kiuchumi.
 
Back
Top Bottom