Recent content by Daydream

  1. Daydream

    Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Rudia kusoma tena uzi kwa umakini
  2. Daydream

    Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya...
  3. Daydream

    Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kuna hii tabia imezuka ya wamiliki wa biashara kuweka huduma za kifedha za mitandao ya simu mbalimbali lakini simu wanakaa nazo wenyewe mbali na ofisi zao na kwenye biashara zao wanaweka vijana ambao ukitoa pesa au kuweka lazima awasiliane na bosi wake ili akupe au kukuwekea. Hii tabia kiukweli...
  4. Daydream

    Jinsi nilivyotapeliwa Kariakoo mwaka 2012 (True Story)

    Rejea kusoma tena nilichokiandika utapata jibu la swali lako
  5. Daydream

    Jinsi nilivyotapeliwa Kariakoo mwaka 2012 (True Story)

    Nakumbuka mwaka 2012 nilifungua biashara ndogo iliyonipelekea kukodi frem itakayonisaidia kufanya biashara yangu. Kwakua biashara ilikua bado changa nikaona ngoja niende Kariakoo nikanunue Radio (Subwoofer) ya Tshs 150k. Nilifanikiwa kununua ile Radio kwa Tshs 150k na nikatoka Kariakoo...
  6. Daydream

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    Ila yeye kuvamia kiwanja cha mtu ndo ustaarabu ???
  7. Daydream

    Yanga ndio wanawafanyia umafia Simba, Jwaneng wapo Avic Town

    Kwani kuna ubaya kumpa mgeni hifadhi ? Nyinyi mlikatazwa kuwapa hifadhi CR Belouizdad????
  8. Daydream

    Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  9. Daydream

    Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

    Wakati wanahangaika walipewa support yoyote na hao wanaotaka kukata kodi ?
Back
Top Bottom