Yanga ndio wanawafanyia umafia Simba, Jwaneng wapo Avic Town

Mbumbumbu Fc acheni propaganda za kipuuzi, mnajitisha wenyewe.
Kama ao Galaxy mnawaogopa basi subirini Leo tumalize mechi tunarudi na kesho tutawasaidia kucheza sisi mmpate ushindi na soka mardadii.
Wale TRA mmecheza nao Chamazi ikija ligi mnakimbia jiji yaani mpo full mchecheto.
 
Binadamu huitafuta furaha yake hata kwa kufanya ubaya.Huyo ndiye binadamu mchoyo na mbinafsi/selfcenteredness!Kama ni kweli.
 
Nashangaa kwanini Yanga inataka kuwakomoa Simba, wao wameshavuka na wapo Misri lakini malazi ya Jwaneng Galaxy yapo Kigamboni.

Ila tutaingia tu robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya naajabu mengine yaani timu imecheza michezo saba ya Kimataifa na imeshinda mchezo mmoja tu ila ajabu Yanga analaumiwa. Hivi ni kweli kwenye michezo yote sita Yanga alikuwa anawahujumu. Nyie endeleeni tu kuilaumu Yanga badala kuimarisha kikosi chenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom