Recent content by dawa2015

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuku wa nyama wanapatikana

    Ni wa wiki mbili na nusu na wiki tano, wiki mbili na nusu wako 450 na @ 2500 na wiki nne @ 4500, wako 100. PWako Dar 0714018728
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mnada mnada mnada

    ahaaa....mkuu uko vizuri....mama likuwa akikaa kwenye kiti chake anaenea vilivyo......
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mnada mnada mnada

    Mkuu inawezekana ulikuwa unasoma mbagala kizuiani au mbagala rangi tatu ya enzi hizo....
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mnada mnada mnada

    mshana jrumenikumbusha mbali sana........nakumbuka miaka ya 80s ruti ya mbagala temeke kuna uda moja aina ya leyland ilikuwa inaendeshwa na mdada mmoja alikuwa si mchezo katika kupangua gia......long time duu....
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kama naanza kuichoka Azam TV vile

    Unatumbua jipu mkuu...nshalia mpaka basi...TING??????Sina hamu!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kama naanza kuichoka Azam TV vile

    Channel zao za sinema za kiingereza zinaonyesha Cinema za zamani na mbaya zaidi mitangazo inapita kila baada ya dakika chache mpaka inaboa.......
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi -tutors

    Kimara Stop Over
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi -tutors

    Tunatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo. 1. Tutors-Basic/Technician Certificate in Pharmaceutical Sciences (NTA level 4 & 5 & 6)​ Place: Dar es salaam Qualification; Degree in Pharmacy/ Diploma in Pharmaceutical Sciences Deadline for Application: 18 Dec 2015 2. Tutors for...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Ninakunywa ila nimepunguza sana na ninaelekea kuacha kama wewe unavyodhamiria. Cha msingi ni wewe mwenyewe kuendelea na dhamira yako na kama umeoa mke wako ni muhimu sana kwani ana nafasi ya kukusaidia. Mimi nilikuwa nakunywa kuanzia asubuhi, na wakati mwingine nilikuwa naenda kazini nishapiga...
  10. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    Sawa mkuu, kwa kuwa CDM ndio maboss wa jimbo na kauli mbiu yenu ni Elimu, na sisi Hapa ni kazi tuu, na kwa kuwa zote ni heri kwetu hakuna shida mkuu! ELIMU NA KAZI! ila Hapa kazi TUUUU
  11. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    Nakubaliana na wewe kuwa hizi ni ngome zenu kisiasa kwa sasa ila CCM tukiwa na mikakati mizuri tutazivunja tu kama CDM inavyovunja za Kwetu, mfano Tanga Mjini.....ni mikakati tu, Ubungo tunapoteza kwa kurudia makosa yaleyale....ila pongezi CDM.....
  12. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    Duu...Hapa Kazi Tuuu.....
  13. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    Ki ukweli CCM ikiendelea kurudia makosa kama yanayofanyika kwenye jimbo la Kibamba na Ubungo, haya majimbo hatutayakomboa kirahisi. Toka tumenza kupoteza jimbo la Ubungo huko nyuma tatizo lilianzia kwenye kura za maoni kwani wanashinda watu kwa nguvu ya pesa na ambao si chaguo la wananchi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda udiwani kata ya Saranga

    Mkuu nayaheshimu mawazo yako! Ila hapa ni kazi TUUU
  15. D

    JamiiForums Tanzania French warplanes strike Islamic State Syria bastion

    Wanaume wameanza kazi!
Back
Top Bottom