Hizo ni service tu kidogo na rangi 'mkono mmoja' stata Kiki moja tuu
mshana jrumenikumbusha mbali sana........nakumbuka miaka ya 80s ruti ya mbagala temeke kuna uda moja aina ya leyland ilikuwa inaendeshwa na mdada mmoja alikuwa si mchezo katika kupangua gia......long time duu....
Yaan hapo ngoma kwenye kukata kona stering jiwe
mshana jrumenikumbusha mbali sana........nakumbuka miaka ya 80s ruti ya mbagala temeke kuna uda moja aina ya leyland ilikuwa inaendeshwa na mdada mmoja alikuwa si mchezo katika kupangua gia......long time duu....
Mkuu usimshushe hadhi yule alikuwa Mmama na bisu (kisu) lake kachomeka kwenye kitenge, halafu hataki mtu aning'inie akisema Mara ya kwanza ya pili anasimamisha gari anateremka anakufuata, sasa hivi atakuwa mtu mzima sana