Recent content by DAVSON

  1. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Uhamishwaji na upangwaji wa machinga unapaswa kutizamwa upya kuna vitu havipo sawa

    Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri. Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno ya katikati tu ya mji. Kwa mfano kwa mwanza sioni ulazima wa kuondoa wamachinga hafi maeneo ya...
  2. DAVSON

    JamiiForums Tanzania January Makamba unaturudisha Misri

    Tunapaswa kupewa taarifa na kama kuna matengenezo basi waseme mwisho itakuwa lini kwani kila jambo lina mwisho hqkuna matengenezo yasiyoisha
  3. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Force account ni mfumo wa upigaji, nafananisha na upigaji wa mabilioni ya JK

    Ulichosema ndo ukweli ni mfumo bora wa kubana matumizi kuliko kutumia wakandarasi wenye gharama kubwa hata kwa kazi ndogo tu ya kujenga choo.
  4. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

    Kiasi ni muhimu standard ni beyond reasonable doubt
  5. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Mbowe awataka wananchi wasihudhurie msiba wa Kaka yake kuepuka maambukizi ya COVID-19

    Juzi alikuwa anafanya mikutano anashikana mikono kwenye shwrehe ya bawacha leo anasema tena wasifike kwenye msiba coz ya coranona mbona hii ni double standard
  6. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Nani atakwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru?

    Kwani kuna kifungu gani kimevunjwa cha sheria acheni kufuata mkumbo
  7. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Kwenye historia ya nchi yetu kuna mbunge amewahi peleka muswada na ukawa Sheria? Mwananchi wa kawaida anaweza andaa muswada akapeleka Bungeni?

    Kanunu za kumudu za bunge yaani standing order zinaruhusu mswaada binafsi.
  8. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Bila tija mshahara usiongezwe serikalini

    Wew ndo umeua
  9. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea Duniani, Katiba ikawa kikwazo!

    Yaani et wasomi hawajui maana ya katiba kweli basi mfumo wetu wa elimu inashida kabisa.
  10. DAVSON

    JamiiForums Tanzania BUNGENI, DODOMA: Wabunge 7 wa CUF waapishwa, UKAWA wasusa na kutoingia bungeni wakati wa kuapishwa

    Washauri watumie njia gani nyingne
  11. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apingwa vikali, aambiwa asigeuze TLS kuwa chama cha siasa

    Hujui unachoongea hakuna uchaguzi ujao ni mwaka mmoja tu
  12. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Tundu Lissu katika hili...

    Leo mnalilia msaada je mnakumbuka kwenye kusitishwa kwa pesa za maendeleo kutoka marekan kwajiri ya millennium goals mlisema CCM hamuhitaji misaada na tujiendeshe wenyewe mbona vigeugeu
  13. DAVSON

    JamiiForums Tanzania SAKATA la Bombadier: Tundu Lissu ni mmoja wa samaki wadogo. Atutajie zile kubwa

    Naona nawe unashabikia kuficha siri yaani kuficha tatizo na sio kutatua tatizo asset za Tanzania sio siri ya Tanzania dunia nzima inajua nchi ikienda kukopa lazima iorodheshe Mali zangu world Bank wanajua Mali za tz ziko wapi unataka kumlaumu tundu Lisu kwa hilo. Je huo ni uzalendo kuwa mkuu...
Back
Top Bottom