Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
- Thread starter
- #21
Mkuu haujaelimika hao wazungu walikuja na katiba hizo enzi unazozizungumzia
Uingereza mpaka leo hii haina written constitution, isitoshe Wazungu wote walitawala Afrika kidikteta yaani Gavana anatumwa kutoka Ulaya kama vile Askofu anavyotumwa na Papa anayeishi Roma kutawala Wakristo waishio Geita au sijui Tunduru!