Recent content by Davie

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Very Bad Indeed..
  2. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mshahara wa Rais wa JMT ni sh 384/= mil kwa mwaka

    Wewe ZK tunashindwa kukuelewa..! kawaida yako ni kuanzisha Hoja na kuziacha hewani. Umetwambia mishahara ya hao viongozi Waziri Mkuu na Sasa Rais..tumejua sasa the way forward..? Ulikuja na kelele za mabilioni Uswisi ikawa kimya hatuskii ukiongelea hilo.. hiyo ni ndo publicity stunt..unataka...
  3. D

    JamiiForums Tanzania London Evening Standard

    CNN hapa saizi wametoa habari ya Acid attack kwa hao mabinti huko Zanzibar wanarudishwa nyumbani.. JK na watu wake wa usalama waamke sio ishara nzuri hata kidogo..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wananchi Pwani kuandamana kuipinga HLRC kwa kumshitaki PINDA na Werema!!

    Ogopa sana watu wanakulia na kushindia muhogo kuanzia utotoni mpaka uzeeni...mana muhogo una sumu flani ambayo inaathiri ubongo..ndio maana watu wa pwani wote wana shida..fuatilia utanambia. halafu linganisha mla muhogo na mla ngano..
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    Hongera bwana Mwigulu,...una hoja nzuri. ingekuwa kila siku mnakaa na kufikiria vitu vizuri hakika tungekuwa mbali. Sio kila siku mnakuja na hoja za kuhangaika na CHADEMA na vipngozi wake tuuu. Fanya kitu kizuri utaonekana, na ujitahidi kuinasua CCM na wanaCCM na janga hili la kutofikiria...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi wa BAVICHA: Nani kuwa Mwenyekiti wa Taifa?

    Ben Sanane is smart...wampe tu..
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

    hata kuandika kiswahili ni shida...? hamna muangaria..kuna muangalia. hamna ikuru..kuna ikulu ........ama ni msongo wa mawazo unakuandama..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 52 ya uhuru wagonjwa wanabebwa kwenye machela

    mapenzi mema kwa CCM yatawacost sana...si unaona jamaa ana kofia ya kijani hapo.. acha waendelee kuumia..
  9. D

    JamiiForums Tanzania Pichani... Dk. Harrison Mwakyembe atembelea uwanja wa ndege Songwe Mbeya

    tutofautishe barabara ya kutua ndege na uwanja wa ndege...je uwo uwanja una navigation beacons(VOR, NDB, ILS etc).. maana sio kupiga kelele kuwa ni international airport bila kujua criteria...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Slaa wakemeeni wanaomchafua kiongozi mwenzenu Zitto Zuberi Kabwe

    Zito amejichafua mwenyewe sio amechafuliwa.. Mbowe na Slaa wapo busy na kutengeneza chama,...sasa mda wa kuanza msafisha mtu ambaye anayataka mwenyewe ni kupoteza mda... Ivo basi ajisafishe mwenyewe kama alivojichafua...usisumbue watu..
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    umenifurahisha sana baada ya kuwa na kichefuchefu cha haya matamshi ya Machemba.... Kweli wengine wanakuwa na chenji ya pombe na usingizi....ukichukulia jana ni mwaka mpya..tena hata hakulala kabisa inawezekana..
  12. D

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

    watu wa Kimara hawana midomo mpaka wewe wa Kawe uwasemee..
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kadi na bendera za CHADEMA

    Chadema hata hapo Ikwiriri tu mnashindwa kufika...umbali wa hata km 100 kutoka dar makao makuu haufiki.. kweli mmelala usingizi... je sisi wa huku Ikola,Karema si itakua shida.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori

    Mie nmesoma SUA..na amenifundisha hiyo WLM...hata simkubali huyo prof wenu.. Anavisasi...,anajiona anajua sana,..anapendelea wanawake,..na mwisho kabisa anapendelea ndugu zake kutoka mkoa wa Mara. Ni mtu wa hovyo kiujumla.. Hapo mtu wa maana ni Prof tu.
  15. D

    JamiiForums Tanzania PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Wakristo kila siku mtaishia kulalaika..ilianza Zanzibar...sasa mawekuja bara... kila siku itakuwa "mungu awasaidie" na kufanya maombi maana kiburi chote kinatoka kwa huyu mkuu wa nchi..ananyamaza kila matukio yanapotokea kana kwamba hayupo.. Tuamke...itafikia sasa watakuja watoa kwenye...
Back
Top Bottom