Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

Kuna watu wakisikia Dr slaa anafanya mikakati au vikao vya chama "Naked women" anaingia kwenye CPU zao! Mtaformat sana mwaka huu.
 
majeshi mbele kwa mbele mpaka tuwangoe hawa mafisadi na majangiri wa ccm..
 
Ritz nilivyo na uchungu na nchi kwa kuona wakina mama wanavyoteseka na watoto kwa sababu ya mafisadi tunajipanga mwenyezi Mungu awe upande wetu. Hapa nje nilipo tutafadhili CHADEMA kadri tuwezavyo ili mradi tuu ccm iondoke tena ing'olewe. Watz wenzangu kokote mlipo nje ya nchi tujipange kwa wale wote wanaopenda ukombozi tujikusanye tuikomboe nchi. Enough is enough. Twiga wanaisha, tembo wanaisha mchana kweupe wanawekwa kwenye ndege, Swiss hela hazijarudi watu wanakufa kwa sababu ya huduma mbovu, ardhi inagawiwa kiholela kwa wageni wazawa wanaendelea kutaabika ee Mungu tusaidie.
Mkuu wangu Molemo,
Uchaguzi Mkuu bado maiaka miwili tu. Hivi hawa vijana wenu wa Bavicha wanaweza kulinda kura za Chadema kwa jinsi walivyokuwa na njaa ambao inaonekana wazi kwenye mfuko ws plasitiki.
 
Mkuu Molemo asante sana kwa habari za uhakika na huo ndo' ukweli ni vyema Magamba waendelee na utaratibu wao wa "chukua chako mapema" kwani 2015 ni kiama kwa mafisadi na wale wote wanao tumalizia tembo wetu.

Wakuu ni kwa mda mrefu huwa najiuliza hivi Kichuli na Chama ni Watanzania kweli , au ni wasomali wanao faidika na huu mfumo uliogeuza nchi yetu kuwa shamba la bibi, hivyo wanapiga debe ili magamba waendelee kushika dola ili waendelee kutumalizia tembo wetu? Na kama ni watanzania, tujiulize wanafikiria kwa kutumia nini? au ni vipofu? au ndo' kujipendekeza na kujikomba wapate nafasi za uteuzi?

Ok, let say kwa kazi nzuri Kichuli anayoifanya humu JF ya kupindisha ukweli, Ritz kaamua kumpigia debe kwa mshua, mshua nae kwa kumsikiliza rais mdogo kamzawadia Kichuli u-kuu wa wilaya. Watanzania tutarajie nini endapo post yake tu aliyo andika akiwa ametulia, kaisoma na karidhika nayo ndo maana kai-post ili great thinkers tuisome ni utata mtupu. Kwa mfano haya maneno aliyo yatumia;

  1. msimpo muangaria
  2. kwenda ikuru
Hayo maneno katika sentensi zake ni kigezo tosha cha kujua uwezo wake wa kufikiria na kiwango cha elimu.
 
Vijana wa CHADEMA hawana uwezo wa kulinda kura zao maake ni choka mbaya 2010 nilikuwa wakala kwenye kituo kimoja na vijana hao nilipoletewa chakula nikato nje kwenda kula wote wakanifuata nikafanya vitu vyangu rais wangu na mbunge wangu wakashinda kwa kishindo!!!!!
 
Kuna watu wakisikia Dr slaa anafanya mikakati au vikao vya chama "Naked women" anaingia kwenye CPU zao! Mtaformat sana mwaka huu.

hahahahaahaah..mkuu umenichekesha sana..ili ujue kikosi chetu kiko imara jiulizi wamesha badilisha timu yao zaidi ya mara 3 na bado na huyu jangiri watamkimbiza, chadema ndiyo kwanza tunazidi kukomaa nao mpaka wang'oke magogoni...
 
slaa1.jpg
 
Mkuu wangu Molemo,

Nashukuru kwa habari hizi zitakazonifanya nilale usingizi fofofo huku ninatabasamu. Naona jana tulipata dondoo za kikao in advance. Hivi, mvujisha siri hajawapatia vijana wake ili waendelee kujifariji? Nasikia huko FB wanatokwa povu kweli; wanalia lia tu. Nashangaa poti wake Mwita Maranya anaacha kusoma maana mitihani ya semista ya Kwanza inakaribia, yeye ni kusutana tu FB.

BTW Mkuu - habari njema kama hizi uwe unazipost mapema, ili hata wakati tunapata maakuli, tunakenua tu na kulishana kwa furaha na wenza wetu mezani huku watoto nao wanashuhudia!

Cc Taswira, KIBE

CHADEMA 2015

Mkuu SEBM unajua sisi wengine hapa JF ndio uwanja wa nyumbani, kwahiyo mambo ya viwanja vingine hasa fb tunakwenda mara moja moja wakati tukiwa na mechi za ugenini. Poti wangu yupi huyo anayetiririka huko FB badala ya kujiandaa na mitihani?

Bado Taswira a.k.a Brain Master hajapenyezewa desa ili alipuke.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu chama,

Chuck Norris anaitaga hii hali, Missing In Action. Umeadimika sana. Naona CD ya ukanda na Umoshi mnaendelea nayo. Poleni sana. Hivi Ngawaiya ni kabila gani? Yuko Chama gani? Agrey Mwandri je? Lowassa anatoka upande gani wa nchi? Sumaye naye hivi anatokea Mtwara? Yule Mkuu wa UVCCM Arusha - Minisi - hivi ni Mzaramo?

Naku-miss sana mkuu. Kesho nitapita pale maeneo mida ya saa tano. TutaPM kwa kupanga zaidi

Cc Molemo

Mkuu SEBM
Kila jambo linajieleza lenyewe iwe Kilimanjaro na isiwe Morogoro? Mkuu kesho nitakuwa Boston wewe niPM tu; Unaeleewa maana ya ukabila na ukanda?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wakisikia Dr slaa anafanya mikakati au vikao vya chama "Naked women" anaingia kwenye CPU zao! Mtaformat sana mwaka huu.

Tunamuombea heri na maisha marefu Dr. Slaa ili mwaka 2015 awafurumushe ikulu magamba. Na kwakuwa hata wao wameshagundua kwamba huyo ndiye anakwenda kuwang'oa huko basi wakisikia jina lake linatajwa wanatetemeka kama vile wanaumwa degedege.
 
Hii ndio shida ya kutumia mataputapu, unaelewa wajumbe wa sekretarieti ni akina nani?
Tutajie basi hao wajumbe sekretarieti naanza wa kwanza wengine malizia
1. Mzee Mtei
2.
3.


Malizia wengine; vipi utakwenda kusaidia kubeba mikoba?

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa anaiongoza Sekretariati yake katika vikao maalum vinavyofanyika mkoani Kilimanjaro.

Akihojiwa na Tanzania Daima Dr Slaa amesema lengo la vikao hivyo muhimu ni kukiandaa chama chake kuchukua dola mwaka 2015.

Pia Dr Slaa amesema chama chake kinajadili mkakati maalum wa miaka mitano wa Chadema.Mkakati ambao umeanza mwaka 2011 na utamalizika 2016.

Dr Slaa amesema wanaohudhuria vikao hivyo ni wajumbe wote wa Sekretariati pamoja na baadhi ya wabunge wenye nyadhifa maalum.

Kikatiba Dr Slaa ndiye Mwenyekiti wa vikao vyote vya Sekretariati.

Source:Tanzania Daima.

atang'olewa yeye
 
Dr slaa ndiye tatizo chadema maana hashauriki kila kitu anajifanya anajua ndio maana kila anayempinga anaonekana ni adui wa chadema hivyo basi anayetegemea kwamba slaa atapata urais anaota ndoto ya mchana bila kulala usingizi na msimpo muangaria slaa atakiua chadema huku mnangojea kwenda ikuru.

hata kuandika kiswahili ni shida...?
hamna muangaria..kuna muangalia.
hamna ikuru..kuna ikulu
........ama ni msongo wa mawazo unakuandama..
 


...few ...of ....
ccm +majangili ....will by....2015 risk its... TBC... services being interfered with or switched-off for failure to switch from analogue to digital ... replacing the entire traditional set up, with new..... PEOPLES POWER ....infrastructure....
 
Pole sana hivi kweli mnategemea kwamba CHADEMA inaweza ikaingia ikulu na Dr. Slaa akawa rais wa nchi hii tukufu ya tanzania kama Mwanza imewashinda kuiongoza nchi mtaiweza kweli kama sio uongo nini?
 
Mkubwa hawa watu wanaoishabikia chadema sijui hawana akili kweli chadema ipewe nchi fujo zote zinafanyika kwenye majimbo yanayo ongozwa na chadema arusha mwanza iringa mbeya singida kote shida tupu afadhali tarime kumepoa maana nako ili kuwa ni shida tupu jamani kweli baado watu wanatoa macho kwamba chadema ndicho chama mbadala wa ccm kweli? Labda watachukua aridhi ya kulima na siyo nchi hii yenye maziwa na asali tuwapatie wachaga tena wacheza disco kama mbowe!!
 
Back
Top Bottom