Kilimo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 777
- 194
samehe mara saba sabini
No haiwezekani, enough is enough, ipo siku watatuambia tusiende hata makanisani, tusikubali ushenzi huu!
samehe mara saba sabini
Kwa nini wasisubiri ukweli ufahamike kuna nini nyuma ya pazia Mtoto alitumwa nani kufanya kitendo hicho Si ajabu wao wwenyewe walimtuma ili wafanye haya waliyo yafanya kisha wapoteze ushahidi kwa kumuua huyo mtotomimi naamini waislamu wengi walioenda shule ni watu wazuri na ni waelewa sana. titizo nihawa wavaa suruali fupi na wasioenda shule.kwani wana uhakika gani huyo aliye najisi kitabu ni mkristo?? kwanini wachukue sheria mkononi? mimi nauhakika kuna mtu anawapa jeuri hawa.toka awamu hii ianze wamefanya mambo mengi maovu na wameachwa hivihivi wanauhakika wana mtu wa kuwatetea.IKO SIKU MOTO UTAWAKA NA TUTAANZA NA HUYOHUYO ANAYE WATUMA.
Mungu gani anapiganiwa kiasi hicho?? sisi wakiristo tunaamini mungu wetu ana nguvu na yeye ndio anatoa hukumu.wenzetu wanatumia kichwa kufugia nywele?? hizi ni akili au matope? washindwe kwa jina la YESU na walegee kabisa.
jiulize maswali hayaUfike wakati wakristo tuseme basi! I am sure tutapigana vita vya akili wakati wao watapigana vita vya mabavu maana wengi hawajaenda shule ni wavuta bangi tu mitaani humo ndiyo maana wanapata muda mchafu wa kufanya haya. For sure tutashinda. We better revenge.
Wapo Waislamu wastaarabu sana Mkuu, hawa waliofanya hivi ni waislamu wenye roho za kigaidi na wivu wa maendeleo ya Mkristo, muislamu mwenye maendeleo na fikra pana hawezi fanya ushenzi kama huu, hili ni moja ya mabomu ya ukosefu wa elimu bora na ajira bado sana tu mbona tutaona mengi na hivi hawataki shule.Huwa namshukuru Mungu sana kuzaliwa mkristo.
kwikwiwkiwkwiwkwiwkiwwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwk niliwaza hivo vhivo wao kutoa sadaka kujenga hekalu hamna ni kugombea tende na nyama za mbuzi toka uarabuni kwiwkiwkwiwkiwkwiwkihili kanisa la waangilikana jamaa watakuwa wameona wivu maana
la kwao ni gofu ndo maana wakalichoma moto
sisi hatupiganii walichoma biblia wakapata pigo la meli mbili nakupoteza ndugu zao wengi sana juzi zimeungua nyumba 19 kwa moto waajabu ulizuka tu from knowhere ,relaaaaaaaaaax god is incontrolwakristo kila siku mtaishia kulalaika..ilianza zanzibar...sasa mawekuja bara...
Kila siku itakuwa "mungu awasaidie" na kufanya maombi maana kiburi chote kinatoka kwa huyu mkuu wa nchi..ananyamaza kila matukio yanapotokea kana kwamba hayupo..
Tuamke...itafikia sasa watakuja watoa kwenye nyumba...ohoooo..