Recent content by david89

  1. D

    Teuzi za raisi Trump, Marekani ina mpango gani dhidi ya dunia?

    Braza ukisoma ufunuo vizuri yohana kuanzia ile sura ya 13 yohana anaposema nilimwona mnyama akitoka baharini mwenye pembe kama za dubu anafanana kama chui n.k vile vile biblia inaendelea kusema kipindi cha mwisho mji wa Jerusalem utatangazwa kuwa mji mkuu wa Israel na mataifa ya magharibi na...
  2. D

    Teuzi za raisi Trump, Marekani ina mpango gani dhidi ya dunia?

    Braza asante xana kwa nondo zako xaxa ndo naelewa kwann mungu aliamua kumfunilia yohana mambo haya makuu huko taso
  3. D

    Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Umeziona izo psychological needs ambazo ndo za msingi kabis mtu akizikosa izo anakuwa hayupo satistified kupata needs nyingine
  4. D

    Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Umeiona iyo sexual instinct bro ni moja ya psychological need according to maslow
  5. D

    Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Maslow's hierarchy of needs, represented as a pyramid with the more basic needs at the bottom[1] Maslow's hierarchy of needs is a theory in psychology proposed by Abraham Maslow in his 1943 paper “A Theory of Human Motivation” in Psychological Review .[2] Maslow subsequently extended the idea to...
  6. D

  7. D

    Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Ngoja nikushushie mzigo co muda maana unaonekan mvivu kutafuta
  8. D

    Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Kumsome Abraham maslaw utapata jibu kwenye theory.
  9. D

    Na enyoj madikodiko

    Wewe maana ya nyimbo nini?
  10. D

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naenjoy madikodiko cjui kaimba dg gan una radha wa mchiriku naomba nitumie kama unao bro
  11. D

    Na enyoj madikodiko

    Wadau poleni kwa uchovu wa siku nzima me shida yangu kama kuna mtu anao wimbo wa dogo mmoja hivi simjui ameimba ivi"narudi nyumbani kuenyoj ,kuenyoj madikodiko naenyoma mamaaa,naenyoj mamaaa",mbele sielew huko autume hapa niudownlod
  12. D

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Waziri mkuu majaliwa atinga halmashauri ya wilaya ya nachingwea kimya kimya
  13. D

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Ahaaa haaaahaaa huyo mnyama mwache kama alivyo
Back
Top Bottom