Recent content by DAVID MHILU

  1. D

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa Watanzania

    IZAAYO
  2. D

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa Watanzania

    Jasho la wapigania haki ni mbegu ya mashujaa na damu mashujaa ni mbegu ya ukombozi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa Watanzania

    Jasho la wapigania haki ni mbegu izaayo mashujaa na damu ya mashujaa ni mbegu ya ukombozi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na kauli hizi za wabunge wa CCM

    Hiki ulichosema wanaweza kuelewa wale wasiolevywa na mvinyo wa tukuza Magufuri kwa kila kitu wenye ufahamu tunajua njia ya kumaliza wizi wa maliasili zetu si kuwazuia wezi wa mali zetu kufanya kazi zao za kuiba maana tayari hawa hawa wanaojifanya wema ndio walio funga mikataba hii ya kuwaruhusu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la mchanga wa madini: Kuna maswali lazima tuyapatie majibu kwanza

    sawa mkuu kuhusu r na l lakini nikuulize tena kumbe ukiwa huna mamlaka unapaswa kuunga mkono chochote hata kama kinanyonga maisha ya wajukuu wako?kama ni mzalendo kwanini asingejiudhuru na kuonyesha uzalendo wake wazi je unafikiri dawa ni kuunda tume za kuchunguza jambo ambalo linajulikana lipo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la mchanga wa madini: Kuna maswali lazima tuyapatie majibu kwanza

    1.Je Magufuri hakuwa anasikia malalamiko ya wapinzan bungeni kwa miaka 20 juu ya mchanga kusafirishwa nje ya nchi yeye kama wazir mshauri mkuu wa serikali alichukua hatua gani wakati huo ili kuzuia Taifa lisipate hasara? 2.je wakati ule Wapinzani walipo kuwa wakidai mikataba ya madini iletwe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

    vipi kama hongo ya wale jamaa wa TEGETE ESCROW ni sumu kwa serikali ya MAGU je haina Athali kwa mzee wa vijisent? maana yeye bado ni bosi pale mjengoni
  8. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Mghwira akizungumza na kamati ya Siasa CCM mkoa wa Kilimanjaro

    kwa kawaida mtu anayetumika aweza jificha kwa muda ila si siku zote ipo siku yeye mwenyewe atajidhihilisha na kama hatajidhihilisha basi anaye mtumia atamdhihilisha mwaka 2010 LIPIMBA alitembea misikitin kuomba waislam wampe kura KIKWETE tukasema hapa huyu jamaa yupo CUFkwa faida ya CCM si...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apinga vikali adhabu ya Mdee na Bulaya

    ILI WATANZANIA WAONJE MATUNDA YA UHURU LAZIMA CCM IWE CHAMA CHA UPINZANI JAPO MIAKA MITANO TU TAIFA LITAZALIWA UPYA KABISA
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Vifo vya Wachezaji wa Kiafrika Uwanjani

    HIVI TUNA UTARATIBU WA KUPIMA AFYA ZA WACHEZAJI WETU KILA BAADA YA MUDA GANI?
Back
Top Bottom