Zito kabwe ni kijana makini,mwajibikaji na mahiri lakini jamani hawa wanasiasa tunatakiwa kuwa makini nao namwamini sana huyu kijana lakini sio kwa asilimia zote coz siasa za nchi yetu hazitabiliki....wananchi tunahitaji mabadiliko lakini wanasiasa wetu hawayataki haya mabadiliko coz...
"THE FUTURE IS DARK ONLY THE BRIGHTY BRAIN WILL SURVIVE,,," kwa sasa wanasiasa wanajifanya "brighty brain" wana-survive kupitia mgongo wa ila ipo siku watanzania wasiojua jinsi wanasiasa wanavyowatumia vibaya lakini ipo siku watanzania watasimama kwa mshikamano ndipo wanasiasa watakuwa na adabu...
Tanzania kwa ujumla inaonewa sana na wanasiasa kwa kuwadanganya wananchi,kuwalaghai,kuwafitinisha na kuyumbisha mfumo mzima wa kufikikilia tu kulingana uelewa mdogo wa kwa sababu tu watu waliosoma ni wachache,,,,,lakini ipo siku watanzania wataamka na kusimama na msimamo mmoja na hakuna...
Exactly bro even me don trust dr.ulimboka anymore kanywea si mateso yamempa funzo coz naona nae amegeuka kuwa kama wanasiasa eti atasema mbona hasemi?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.