NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Mbeya kaja Huku Mara mbili tokea awe Rais lakini USA kaenda Mara 15 inaelekea mbeya ni mbali sana kuliko USA!!!!
Aje huko mumpopoe na mimawe yenu ?
Hamtabiriki nyie watu wa huko.lol!
Mbeya kaja Huku Mara mbili tokea awe Rais lakini USA kaenda Mara 15 inaelekea mbeya ni mbali sana kuliko USA!!!!
JP Maghufuli alishatoa jibu la swali hili siku chache zilizopita wakati Kikwete anazindua miradi ya mabarabara na daraja la Kigamboni. Lisome vizuri swali langu. Najaribu kumuunga mkono Kipanya.Ungeuliza pia yupi safari zake zinamanufaa zaidi kwa Nchi yake.
Kikwete na Hillary Rodham Clinton nani zaidi katika kupasua anga?
Kwani katuni imependekezaje? Someni vizuri swali langu!Poor you. Una mawazo mgando sana. Kwa maana hiyo JK ni foreign minister kama Clinton?? Unatakiwa kumlinganisha JK ni marais wenzake, mfano Kibaki, Zuma, Museveni, Kagame, Pierre, etc... Ndio maana mwisho wa siku mnaishia kututolea kauli za 'sijui ni kwa nini wa Tz ni maskini'...
Na kweli tutamchangamkia mpaka akomeAje huko mumpopoe na mimawe yenu ?
Hamtabiriki nyie watu wa huko.lol!
Masoud Kipanya unatafuta waku-Mwangosi.
Hii Katuni inaeleza kila kitu kuhusu Rais wetu ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nje.
Mbeya kaja Huku Mara mbili tokea awe Rais lakini USA kaenda Mara 15 inaelekea mbeya ni mbali sana kuliko USA!!!!
Aje huko mumpopoe na mimawe yenu ?
Hamtabiriki nyie watu wa huko.lol!
Kikwete na Hillary Rodham Clinton nani zaidi katika kupasua anga?
Poor you. Una mawazo mgando sana. Kwa maana hiyo JK ni foreign minister kama Clinton?? Unatakiwa kumlinganisha JK ni marais wenzake, mfano Kibaki, Zuma, Museveni, Kagame, Pierre, etc... Ndio maana mwisho wa siku mnaishia kututolea kauli za 'sijui ni kwa nini wa Tz ni maskini'...
Kibonzo cha Kipanya kinapendekeza Rais wetu achukue pia wizara hiyo. Nami nikamlinganisha Kikwete na huyu mama. Inaelekea Mkapa alimbinya sana Kikwete wakati ule. Sasa anafanya kweli!Kwani Hillary Clinton ni rais wa nchi! cheo chake cha waziri wa mashauri ya nje wa Marekani kina mruhusu kusafiri nje kadri awezavyo lakini Kikwete si ni kiongozi wa nchi!
This is not fair