Recent content by davexit

  1. davexit

    Taja wimbo unaohisi kama ulitungiwa wewe vile

    Why me Lord by shaggy Sent using Jamii Forums mobile app
  2. davexit

    Je, ushawahi kupata mpenzi mtandaoni lakini ulivyokutana nae ni tofauti kabisa na picha zake?

    Mwaka Juzi tu, nilipata demu insta pambana Sana mpaka namba miezi kadhaa tukameet mwanza. Yani raha aliwahi kufika tulipo panga kumeet Niko kwenye gari nikaona kademu nikawa najisemea hawez kuwa Ni huyu na ana sauti nzuri balaa, kupiga simu nikaona ndo yeye amepokea, kumbe Ni yeye, Ni yeyeee...
  3. davexit

    CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

    Mkuu naona uko busy Sana na Covid-19, umeshagundua Kinga au tiba? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. davexit

    Inauma sana barmaid anakuahidi akifunga bar mambo yatakua fresh lakini mda ukifika inakua tofauti kabisa.

    Mimi sitakag ujinga huwa naomba nikae na pochi yake....!!!! Ku-avoid Mambo yakihuni Kama hayo, mwisho wa siku ukale mkono bure na matusi mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. davexit

    RC Paul Makonda aijia juu TAMISEMI, atishia kuandaa maandamano mpaka Wizarani

    Ndo hasara yakuto kuwa na vyeti, haelewi kitu. Ni mkurupukaji Sana huyu
  6. davexit

    Hii bar njoo peke yako utafaudu usije na mkeo

    Kamwe siwezi kwenda kwenye sherehe na pilau, ntaikuta huko huko na nitaila
  7. davexit

    Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

    Rutgerus van nisterooy-- Ruud van nisterooy Sulzer Jeremiah Campbell -- sol Campbell Gnegneri Yaya toure -- Yaya toure Andre Romelle young-- Dr. dre
  8. davexit

    Longdistance

    Hamna haja yaku muuliza ataji defend in a way ambayo itaku kasirisha koz utaona ananichukuliaje huyu, and it can turn urgly, I have been there it's not worth it. Stay calm and stay positive. Hawa viumbe nusu fainali ni wakiwa thirties, fainali ni usingle mother
  9. davexit

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Alipata kazi demu mmoja matata, siyo boss, sisi ma slum doggy, wafanyakazi wote wa kampuni ambao tuna share nao jengo moja, Kila mtu alikuwa anapambania amle, wakumtoa lunch, wa lift, wa dinner ilimradi upewe kipochi mavuzi, Yani trip ikitokea lazima boss asafiri nae na dereva, ila bosi alitoswa...
  10. davexit

    Patrick Aussems ameibadilisha sana Simba SC

    Kanda nadhani tumeuziwa saa kumi 12, alikuwa mzuri Sana kwa wale ambao tunamfahamu, alikuwa mzuri ila kwa Sasa amebaki na maufundi tu but Hana sumu golini, shiboub ni mtu na nusu, fraga na yule beki mbrazil ni wazuri, wanafanya majukumu yao vizuri, siyo wabaya wakizoea ligi na soka la kiafrika...
  11. davexit

    Wakili Alberto Msando(CCM) anavyotumia udhaifu wa Mbunge Anthony Komu(CHADEMA) kuieneza CCM Moshi Vijijini

    Kwani msando anakaa huko Moshi vijijini? Huko Moshi vijijini hamna wagombea/mgombea ambae ataleta chachu ya maendeleo? Davis Mosha nae alianzaga danganywa hivi hivi, mwisho siku tunajua kilicho tokea,
  12. davexit

    Kumbe tuna wanasoka wengi Ulaya

    Hamna shida, ukicheza under 20 ya Austria bado anaweza cheza bongo, mfano mzuri sadio Berahino alicheza under U20 ya uingereza ila asahv ya wkubwa anacheza Burundi
  13. davexit

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Mwezi wa saba mwaka huu, tunapombeka mitaa flani ya uzunguni bar, Niko na rafiki yangu(ambae pia tunafanya nae kampuni moja) na mdada wa ofisini pia, na mke wa huyo mshikaji. Pale mchezo naujua mm, huyo rafiki yangu na huyo msichana kuwa huyo co-worker wa kike ni mchepuko wa huyo rafiki yangu...
  14. davexit

    Zinaa huleta ufukara

    LIWALO NA LIWE
Back
Top Bottom