Recent content by DAVE2014

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kisukari aina zote tatu (type 1, type 2 na inayowapata kinamama)

    Ninatambulisha tiba ya ugonjwa wa kisukari. Imethibitiswa na kuruhusiwa nchini. Kafanye A1C, FGP ama OGTT test kabla ya matumizi ya hii dawa ambayo nitakupa in details, kisha baada ya wiki mbili nenda kafanye vipimo tena kuona ninachokueleza. Ikiwa ni wewe ama una ndugu, jamaa, ama rafiki...
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

    Hakushindwa kuja, alikuona akakimbia Bro. halafu kumbe ni mara ya pili
  3. D

    JamiiForums Tanzania Environmentalists Object to $450 Million ‘Good Governance’ Aid to Tanzania, Citing Corruption, Ivory

    "The MCC must require Tanzanian government action against the criminal syndicates behind the poached ivory trade or the same roads MCC funded could facilitate smuggling of ivory to China," says Allan Thornton, President of EIA. Photo by Winky from Oxford, UK via Wikimedia Commons...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

    Hebu elezea kwa kina tendo lenu linaanzaje? maana nikivuta picha naona ni wale hata busu wanakwepa anafumba mdomo kama unataka kumlisha sumu, kasha anabana miguu kama anazuia mkojo. Usimgegede hadi aulize sabbu, ksha mpe ukweli, then mwache tena kwa muda. baaada ya hapo atalainika. Halafu...
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba kanipiga mbata wapendwa

    Inaelekea una ugeni kwenye masuala ya mahabati ama mahuba, kama siyo mgeni basi hujapatisipet vya kutosha, mbata kawaida sana, utani upo sana kwnye mahabati na wengine tumewahi pigwa hadi meno. na alama ipo hadi leo sababu ya mautani kwenye mahabati. We vipi Bloo, usianike hvi vitu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lumia 520 inauzwa Tshs 130,000/=

    Lete era njoo na simcard iliyokatwa tafadhali, usijefikiri kimeo buree
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lumia 520 inauzwa Tshs 130,000/=

    Nokia Lumia 520 kwenye hali nzuri kabisa, inauzwa 130,000/-, inatumia latest windows 8.1. Iko maeneo ya pugu rd,karibu na sigara. 0719206920
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

    Hii stori nimeisikiaga, nani anayo video apload basi !!!!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nokia lumia 520, inauzwa

    Nauza simu Nokia Lumia 520, TZS 150,000 tu. Haina scratches na imetumika miezi miwili. Nauza sababu naona android ni bomba kuliko windows. First come, first served.
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana gari, amekasirika mume nimenunua gari

    Mwaha ha ha ha
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana gari, amekasirika mume nimenunua gari

    Ni hii hapa waliotaka picha, lkn kwa sasa imesajiliwa
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana gari, amekasirika mume nimenunua gari

    Sijawahi kutoka na gari lake kwenda kwa rafiki ama shughuli binafsi, ila nahisi hana tatizo kiivyo kwenye kutoka nalo, ila shughuli inakuja unapopigwa pasi,...ni balaa, lakini kuharibika huwa nashughulikia, ikiwemo pacha nakadhalika
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana gari, amekasirika mume nimenunua gari

    'Kusafisha Bunduki'..mwaha ha ha, kuna msemo umenikumbusha mpwa 'kuosha rungu', sibadiliki mkuu
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana gari, amekasirika mume nimenunua gari

    Hamna, mbona nilipokuwa namshirikisha nilimpa na mifano hai iliyowahi kutokea, inayoonyesha uhitaji. Tena approach yangu haikuwa ile kumwambia.....Nanunua gari... hapana ni step by step....na pia kudiriki kumwomba kuongeza usafiri.Na nikasisitiza siyo kwasababu analo gari ama pride.No
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke ana gari, amekasirika mume nimenunua gari

    WanaJF hii mnaionaje, Mke wangu ana gari, alikuwa nalo tangu tulivyoingia kwenye mahusiano. Tumekuwa tunalitumia pamoja lakini unajua tena gari likiwa siyo lako huwezi kuwa free, ukilikwangua ni balaa, na hata huwezi sema ngoja nichomoke niende mkoa kutoa salamu maana gari si lako au kulitumia...
Back
Top Bottom