Mchumba kanipiga mbata wapendwa

Mchumba kanipiga mbata wapendwa

Mkuu, nilishawahi kusema hata mimi, dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie tu.

Hmmm hizi species za wanawake wa kisasa na yeye ukute amewapanga tu. Dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie tena mwenye pesa ndio msemo wao! Wanawake watiifu walikuwa zamani hawa wa sasa ni another species kabisa!
 
I wish ningekumbuka mistari fulani ya wimbo wa FID Q ninge nukuu.........bt love iz blind kk we ona kama hiyo mbata kakukic hivi ungemwambia na tena.....si utani bhna
 
Sababu mara ya kwanza kwa yeye kufanya kosa kama hilo cha kufanya wewe msamehe
 
Hilo neno mbata nilikuwa sijawahi kulisikia 😆😆😆😆😆😆😆
 
I wish ningekumbuka mistari fulani ya wimbo wa FID Q ninge nukuu.........bt love iz blind kk we ona kama hiyo mbata kakukic hivi ungemwambia na tena.....si utani bhna

utani wa kuumizana?
 
Hmmm hizi species za wanawake wa kisasa na yeye ukute amewapanga tu. Dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie tena mwenye pesa ndio msemo wao! Wanawake watiifu walikuwa zamani hawa wa sasa ni another species kabisa!

umenena vyema.
 
ungemgeuzia upande wa pil mkuu
afu mbata ya mtoto mzur mbona hata haiumiz asee
 
Inaelekea una ugeni kwenye masuala ya mahabati ama mahuba, kama siyo mgeni basi hujapatisipet vya kutosha, mbata kawaida sana, utani upo sana kwnye mahabati na wengine tumewahi pigwa hadi meno. na alama ipo hadi leo sababu ya mautani kwenye mahabati.

We vipi Bloo, usianike hvi vitu
 
Back
Top Bottom