Recent content by Davcool

  1. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia 10 za Uchumba Salama

    Kama wote hamjawahi tumika mbio ndefu na fupi haziwahusu, lakini Kama mlishatumika shake b4 use inawahusu, mfano mwanaume hamjawahi, mwanamke amezoea kukunjwa salakasi za kila namna unategemea hatazitafuta nje atakapokosa ndani!? au alishafumuliwa Malinda unadhani hatatafuta Huduma hiyo nje...
  2. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia 10 za Uchumba Salama

    Wengine uliwapa kwa nn usimpe mtarajiwa!?, lakini utafaham vp Kama mnafanana, Kuna mwingine kazoea mbio ndefu mwingine fupi, mwingine kazoea guu la ng'ombe mwingine kibamia tu tosha, tumianeni then mfanye maamuzi.
  3. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia 10 za Uchumba Salama

    No 10, ni sawa Kama wote hawajatumia, Kama wametumika kufanya ni ruksa tofauti na hapo watajuaje Kama wanafanna.
  4. Davcool

    JamiiForums Tanzania CRDB Tawi la Chanika mmeniibia

    Hapana sio rahisi, counter za wahumu wa bank ziko wazi sana chochote atakachofanya kinaonekana, Ninadhani watakuwa wamehesabu vibaya wakati wa kukabidhiana, noti za elf5 hugandamana hasa zinapokuwa chakavu ni rahisi kukosea kuhesabu, hata baadhi ya mashine za kuhesabia hukosea sembuse mikono...
  5. Davcool

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta ajira nimeipata kwenye kampuni la wahindi ila hiyo kazi, ushauri

    Ifanye mkuu kwa bidii zote, ijapokuwa ni ngumu sana, itakufungua kufanya ya kwako mwenyewe Kama hiyo na zaidi ya hiyo.
  6. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Sorry dish ni la cm 90 sio cm 10 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Nina receiver ya panolama Hd, dish 10cm (Azam), ni njia zipi nitumie kupata free on air channels Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Davcool

    JamiiForums Tanzania Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Unategemea atakuwa lini huyo!?,
  9. Davcool

    JamiiForums Tanzania Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Asipohama mmi kama baba yake, ntamlipia chumba mbali na kwangu, ntampa mchele kg 25,mahindi debe, maharagwe kg 10 na poketi money elf50, akaanzie maisha, hakuna mtoto mwenye 25yrs
  10. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

    Hii sio ya tom cruise, labda ulimaanisha mission impossible 1,2,3
  11. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie za intelligensia

    Alimaanisha Nikita movie na sio Nikita series
  12. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TV flat Samsung na ulaji wa umeme

    Sidhani kama hilo ndo tatizo, labda kama ni Samsung fake.
  13. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka naumia sana

    Kwa uzi huu, mpe hongera zake shemeji yangu, inaonekana kazi anaimudu vyema.
  14. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

    Binafsi namuona wa kawaida sana, mzuri ni mke wangu tu.
  15. Davcool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

Back
Top Bottom