Nimetafuta ajira nimeipata kwenye kampuni la wahindi ila hiyo kazi, ushauri

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
17,072
Points
2,000

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
17,072 2,000
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
Sasa kwanini usifanye mwenyewe binafsi hiyo kazi hadi ufanye na hao wahindi?
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,913
Points
2,000

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,913 2,000
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
UNAZUNGUKA NA USAFIRI AU,KAMA KWA MGUU MSHAHARA NI WA KUBADILISHA SOLI YA KIATU .
 
a45

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
931
Points
1,000

a45

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
931 1,000
Nilivyomaliza form 4 mwaka 2004 niliwah kuomba kazi, nkaenda nkapewa mkataba wa kazi, nkakabidhiwa kwa mtu wa kunifundisha kaz, kumbe ndo kaz hii unayokwenda kujaza mkataba kesho?

Nilizunguka na jamaa na mahotpot, mabesen, sahan, vikombe, tulitembea kutwa, kurud saa 12 jioni, mnaacha vitu kesho tena.

Aseh, sikurud hyo kesho.. Hyo syo kaz, watakunyonya
aisee nimecheka Sana
 
R.K

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
152
Points
250

R.K

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
152 250
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
Sijawahi kufikiria kufanya hiyo kazi labda nikushauri kama una mtaji wa kufika hata laki 1, inatosha kuanza kufanya biashara yako ila kama huna kabisa fanya kwa lengo la kutafuta mtaji tu.
 
IROKOS

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,070
Points
2,000

IROKOS

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,070 2,000
Kesho najaza mkataba wa kazi Mungu akipenda, kazi unazunguka na bidhaa gawio la asilimia 10 ya mauzo kwa siku..ndo salary (mfano wa wakala)

Ukifikisha point wanakupromote unakabidhiwa ofisi... Nipo naitafakari hii kazi..
Kwa anaetaka aje nimuumganishe aandike barua ya kuomba kazi na barua ya mdhamini.. Na paspot size mbili zako na za mdham wako
Mkuu kuna dogo kamaliza chuo yupo tuu mtaani, hebu tuyajenge..
 
mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
1,491
Points
2,000

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
1,491 2,000
Kma upo Dsm aisee hilo jua lake si mchezo.saa4 asubuhi hadi saa 8 ukitembea unaweza toka damu puani na masikioni.Ukinunua maji jero msosi buku jero. Buku 2. Na kadhia zingine za jiji kibao.

Kazi kama hizo bora upange hovyo vyombo Temeke stereo au kariakoo wateja watafuata.Ila ya kutembeza sikushauri maana so lake sio la nchi hii.

Kama utaweza tafuta kazi ya kukaa.ukae mteja ndo aje au uwe unazunguka na kirikuu mitaani hapo sawa.

Kama utafanya hivyohivyo mwambie boss mgawanyo ni 40/60.Ukiuza buku mia 4 yako mia6 yake.hapo vipi?
 
markbusega

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Messages
565
Points
250

markbusega

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2015
565 250
Mkuu kuna dogo kamaliza chuo yupo tuu mtaani, hebu tuyajenge..
[/QUOTE

Niliwahi kutembeza hayo mabeseni changamoto hayo mabeseni ni makubwa balaa hata daladala wanakukataa kwamba utamaliza nafasi, malipo hayako wazi unaweza kufanya malipo ukalipwa tofauti nilifanya wiki nikaacha nikafungua genge la kuuza matunda.
 
cmases

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
1,463
Points
2,000

cmases

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
1,463 2,000
Ukikutana na classmate usijetupa mabeseni. Au una standby masks?
Dah mkuu umenikumbusha mbali, beat zao ni kuwa unakuwa msambazaji wa bidhaa. Kuna kipindi nilimalizaga form six nipo kitaa Moro nikaomba hiyo kazi. Siku ya kwanza nikazunguka na jamaa hadi jioni misele ya kutosha kwenye maofisi ya watu. Siku ya pili tupo mtaani nikakutana na madem wananifahamu kindakindaki. Nilijifunika na beseni lakini walishaniona. Tulivyopishana tu nikampa vyombo vyote yule mwalimu wangu na sikurudi tena!!!
 
Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,928
Points
2,000

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,928 2,000
Mwaka 2009 nimemaliza kidato cha sita daah nikaonaga gazeti tangazo la kazi, nikatuma maombo lazi yenyewe ipo chang'ombe maduka mawili kufanya usaili kupata kazi nikapewa mavyombo na jamaa nianze kuvitembeza hahahaha daah aisee nikakumbuka nianze kutembeza vyombo nianze kukutana na watu wanaonijua? Vumbi la Dar nikaona bors nikae tu nyumbani bila kazi...
 
rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
11,491
Points
2,000

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
11,491 2,000
Mwaka 2009 nimemaliza kidato cha sita daah nikaonaga gazeti tangazo la kazi, nikatuma maombo lazi yenyewe ipo chang'ombe maduka mawili kufanya usaili kupata kazi nikapewa mavyombo na jamaa nianze kuvitembeza hahahaha daah aisee nikakumbuka nianze kutembeza vyombo nianze kukutana na watu wanaonijua? Vumbi la Dar nikaona bors nikae tu nyumbani bila kazi...
Bora mkuu maana duuh
 
Forum statistics

Threads 1,343,409
Members 515,033
Posts 32,783,815
Top