Thobias Maputo
Member
- Feb 10, 2020
- 22
- 32
Uzembe wako 2M hata dakika kumi ushazihesabu
Huwa wanao mchezo flani hv... anahesabu mbele yako kwa mashine then wakati anazifunga kwa rubber band hudondosha chini noti kadhaa.Anahesabu tena vizuri sana na skrini anakugeuzia, kupigwa ni pale mrembo anazitoa hizo noti kwenye mashine ili azipange akukabidhi.
Zimehesabiwa mbele yako hivyo hutakuwa na muda tena wala wasiwasi kuhakiki, naye anatumia vema mwanya huo kuchezesha noti mbili tatu ili maisha yasonge.
Mjini shule bwashee.
Recklessness, a likukong'oli.Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dirishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.
Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuwa amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5,000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10,000 akakataa.
Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20,000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20,000 haipo.
Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha hayo mateso mkuu vp ulihesabu zoteKuna mpuuz mmoja alinipa mil4 alaf buku buku imagine...
Kama unatoa hela mara kwa mara mzigo mwingi, ni kucheza na mashine tu na mara nyingi teller anakuangalia na kukuelekezea mashine pale anapotoa kibunda cha fedha na kuhesabu kwenye mashine hivyo kwa kutumia mashine unaangalia wakati anahakiki zile yale mabunda ya fedha kabla ya kukupatiaMkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?
Hapana sio rahisi, counter za wahumu wa bank ziko wazi sana chochote atakachofanya kinaonekana, Ninadhani watakuwa wamehesabu vibaya wakati wa kukabidhiana, noti za elf5 hugandamana hasa zinapokuwa chakavu ni rahisi kukosea kuhesabu, hata baadhi ya mashine za kuhesabia hukosea sembuse mikono!?Huwa wanao mchezo flani hv... anahesabu mbele yako kwa mashine then wakati anazifunga kwa rubber band hudondosha chini noti kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hua vibuli sana hawa wafanyakazi utakuta wamenuna tuKama unatoa hela mara kwa mara mzigo mwingi, ni kucheza na mashine tu na mara nyingi teller anakuangalia na kukuelekezea mashine pale anapotoa kibunda cha fedha na kuhesabu kwenye mashine hivyo kwa kutumia mashine unaangalia wakati anahakiki zile yale mabunda ya fedha kabla ya kukupatia
Bati moja unauzajeMkuu pole sana kalikuwa ka hela ka kiwanja nini, manaake nimeona umetaja mjumbe hapo...
Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
Kibunda kimoja ndo kilipungua 20000Hapana sio rahisi, counter za wahumu wa bank ziko wazi sana chochote atakachofanya kinaonekana, Ninadhani watakuwa wamehesabu vibaya wakati wa kukabidhiana, noti za elf5 hugandamana hasa zinapokuwa chakavu ni rahisi kukosea kuhesabu, hata baadhi ya mashine za kuhesabia hukosea sembuse mikono!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni kwenda nao hivyo hivyo tu mkuu, lengo lako wewe ni kutoa hela, achana na kununa kwao
Wana makusudi mkuuHao ni kwenda nao hivyo hivyo tu mkuu, lengo lako wewe ni kutoa hela, achana na kununa kwao
Nimetoa dukuduku lg sijalalamika tambuaUnaambuwa "Count your money before leaving the counter"..Sababu wanajua kuna human errors huwa zinatokea,.wewe unachukua hela unakimbia,unakuja kumlaumu dada wa watu huku JF,ambae unaweza kuta hata hajui kama alikupa hela nusu...