Neno mungu katika maandiko linarejerea mtu au kitu chenye nguvu 2 wakorintho 4:4 kwa hiyo ukisema yesu ni mungu maana yake ana nguvu ila si za kumzidi baba yake (yehova) kwahyo kwa maneno mengine uungu/mungu ni majina ya cheo tu.
Kwakua umeswma huiamin biblia basi hatuwez kukujibu tena ila kwa ufupi mungu ana jina na anataka tumwabudu na tunavyomwabudu tunampa sifa kwa wale wanaomzuhakimfano mzur ni kisa cha ayubu , uvumilivu na ustahimilivu ulimletea sifa mungu kwamba kuna binadamu wanao weza kumtegea hata wapatwe na nini
habari zenu wana JF
Nombeni msaada.
Nashindwa kuhakiki cheti changu kila nkifika hatua ya kuweka document inanambia niweke tena, msaada kwa anaejua shuda hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.