Recent content by Daud mwita

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Wanajeshi wanaogopwa siku Zote ndo maana wanapewa parefu, wanamfanya mtawala awe na jeuri ya kuzikandamiza kada nyingine
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono uamuzi wa busara wa Rais Samia, Kuhusu mageuzi ya Polisi

    Hata akiwekwa malaika bila Katiba mpya bado Kijani ni ileile hakuna mahakama
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

    Zari ana uzuri gani
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi)

    Wanaj Kuwa mwanajeshi sio kujua kupigana, wapo wengi tu mdebwedo wanapigwa makofi mitaani tena na walevi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

    Vaa hivyohivyo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

    Kama kuna wanaopata na wasiopata kwanini wasizifute kabisa, wizara ya hovyo sana hii, Kuna jamaa yangu aliniambia zinalipwa Kwa asilimia 15 ya mshahara wa mhusika. Ila kama Kwa mfano ulianza kazi mwaka 2006 Posho zako miaka yote zitabaki za mshahara wa huo mwaka haijalishi mshahara umepanda Kwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

    Yeah uko sahihi kaka, ni kama ilivyo Kwa wasimbiti, Wairegi, wangoreme, wakenye, warenchoka, watimbaru, wanyabasi ni miongoni mwa Koo/vikabila vidogovidogo vinavyounda kabila moja kubwa la kikurua.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Makabila ya Wajita na Wakurya

  9. D

    JamiiForums Tanzania Historia ya kabila la Wakurya

    Itiryo unapajua?? Hilo jina la bugucha ni mojawapo ya kijiji jirani na huko
  10. D

    JamiiForums Tanzania Historia ya kabila la Wakurya

    Braza wasikulishe matango pori, hao wasimbiti ni Wasikulishe matango pori kaka hao wasimbiti ni wakurya pure. Vifwatavyo ni baadhi ya vikabila ndani ya kabila la wakurya. 1 Wairegi. 2 Wasimbiti. 3 wanyabasi. 4 wanyamongo. 5 wasweta. 6 warenchoka. 7 waikoma. 8 wanchari. 9 watimbaru. 10 wamera...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Master's ya Public Administration VS ya Social Work

    Maendeleo ya jamii
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kutoa ajira kwa waliofeli divisheni 4 tena kuanzia point 28 mpaka 31 ni kutuharibia jamii

    Kwa hiyo unatuaminisha kwamba 1-3 Wana teknolojia ya wa kulipua makombora 50 yakirushwa?? Elimu ya bongo ni mwenye uwezo wa kukariri ndo anafaulu braza ukijibu kwa ufahamu unafeli. Kuna watu wamesoma hadi PhD lakini ni weupe hamna kitu zaidi ya karatasi la Cheti. Na kama ishu ni hayo makaratasi...
Back
Top Bottom