Recent content by datshizo

  1. datshizo

    JamiiForums Tanzania Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  2. datshizo

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

    Tanzania Massacre 29.10.2025
  3. datshizo

    JamiiForums Tanzania MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

    Unawasha VPN kusifia walioufunga mtandao
  4. datshizo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi utafanyika kwa Amani na Rais Samia atashinda na kuapishwa na ataongoza Taifa letu katika Hali ya Amani na utulivu kabisa hadi 2030

    Anashindana na nani? Kama anajeuri alete tume huru na amwachie mpinzani halisi achana na project zake
  5. datshizo

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kumi bora kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2019

    Hivi mtoto anayepata Div I ya 7 shule ya kata tunamuweka kundi gani Tujaribu kuapreciate hata hawa watoto wa shule za kata wanaofanya vizuri Kuna shule inaitwa Igaganulwa ipo Simiyu shule ya kata dogo kapata DIV I ya point 7
  6. datshizo

    JamiiForums Tanzania VSO Tanzania watangaza nafasi 75 za kujitolea kwa vijana umri 18-25

    hamna cv duh ....
  7. datshizo

    JamiiForums Tanzania UDOM siwaelewi

    niambie jinsi ya ku-confirm IFM mdogo wangu kachaguliwa hapo ana multiple selection na udom
  8. datshizo

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma SUA na Wanaosoma SUA

    Unaweza kuhama ila ufanye haraka kabla ya mambo kuanza usirudie kuomba kozi ambayo huna mpango nayo
  9. datshizo

    JamiiForums Tanzania Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

    Mbona mi naona takwimu ziko sawa Tanzania tuna mikoa mingi Fanya tafiti zako mikoa ya tofauti na huku pwani Utagundua takwimu hizo ni za kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. datshizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda wangu wa kuoa sasa umefika

    All the best mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. datshizo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bahati sio yako mkuu Ndio maana hujashinda Kuumia wakati kashinda mwenzio ni roho mbaya mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. datshizo

    JamiiForums Tanzania Simba yapigwa bao 7 Afrika Kusini

    Mbona timu huko ulaya zinapigwa 26 cha ajabu nn Sent using Jamii Forums mobile app
  13. datshizo

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Naomba link ya nganza
Back
Top Bottom