At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza, mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa...
Hivi naomba mnijulishe hivi hisa asilima 35 ambazo serikali ilisema itazichukua kutoka Bharti airtel kabla ya mwisho wa mwezi uliopita wameshazichukua.....maana huu mwezi wa pili sijapata update yoyote kuhusu hii ishu....au kuna kudanganyana maana waziri alisema mwenyewe...au ndio style ya...
Mimi kuna ishu hii inanidatisha...nimesikia kwa chinichini TTCL imeingia kwenye 4G sijajua ni kisiasa au vp!!!!?...maana sijaona hata tangazo lao moja....hivi ni wanaifanyia test au wameingia kabisa kwenye market....mimi bado nazidi kudata...
Sasa pamoja na hayo hivi hawa wanashindana na nani...
Mimi ni ICT Expert wa mda mrefu kampuni yetu kipindi cha nyuma tulikua tunaajiri CCNP holder na OCA...lakini kwa kipindi hiki hata ukiwa na CCNP au OCA unaweza tusikupe kazi kutokana na wanaoomba kazi wenye CCNP na OCA wapo wengi.
Kwa hiyo tunashauri kama una CCIE au OCP au MCSE ni PM kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.