SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,074
Usishangae kesho wakasema ILIKOSEWA..............Mambo haya bhana hayaelewekiNaona fulsa zimeanza kufunguka
Usishangae kesho wakasema ILIKOSEWA..............Mambo haya bhana hayaelewekiNaona fulsa zimeanza kufunguka
Application za watu wa ICT nadhani zitajaa Fuso
Acha hizo unaqoute vipi thread ndefu hivyo Kwa mstari mmojasafi sana. Zikitoka za sheria tujuzane mkuu.
Nimekwishaona, asante kwa mrejeshoTangazo limeshawekwa.
yap ni lazima mubadilike mumesha ingiza ndugu zenu sana Magufuli hataki mchezo kuweni wa waZiTutatoa matangazo yote kwa uwazi bila shaka.
sio kupotosha umma ndio ulikuwa mchezo wenu now mtabadilika bado uhamiaji na tbsSio kweli acha kupotosha umma wa Watanzania.
Hii wanajua wafanyakazi wa TPA wenyewe...Jamani TPGS 6 inaanzia ngapi???. isijiwe ikawa ndow swali kwenye interview.
Hata makadirio jamani tujueHii wanajua wafanyakazi wa TPA wenyewe...
Kaka umetumaje maana mi nimeshindwa kwenye kutengenrza CV kule sekretarieti ya ajira nimeishia 54% tu na wao wanataka 70% ili uweze kuapply lakin cha ajabu sioni hata sehemu moja niliyoachaAlhamdullillah nimetuma tayari
mh kuna info ujajaza au una Cheti kimoja tu weka vyoteKaka umetumaje maana mi nimeshindwa kwenye kutengenrza CV kule sekretarieti ya ajira nimeishia 54% tu na wao wanataka 70% ili uweze kuapply lakin cha ajabu sioni hata sehemu moja niliyoacha