Data na Biti
Member
- Apr 4, 2011
- 40
- 13
Hivi naomba mnijulishe hivi hisa asilima 35 ambazo serikali ilisema itazichukua kutoka Bharti airtel kabla ya mwisho wa mwezi uliopita wameshazichukua.....maana huu mwezi wa pili sijapata update yoyote kuhusu hii ishu....au kuna kudanganyana maana waziri alisema mwenyewe...au ndio style ya #hapakazitu