Data na Biti
Member
- Apr 4, 2011
- 40
- 13
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza, mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote mwisho ameweza kuonekana kwa utendaji kazi wake na kumgusa, kumdatisha au ama si kumkuna mzee wa #HapaKaziTu...
Je, unaweza kupredict ni kazi gani inayofata inayomfiti na anayoweza kupewa kwa kuongezewa cheo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni baada ya hii ya uDC baada ya Mh JPM kuridhika na utendaji wake kazi na kumhakikishia kuwa yeye sio Jipu na anaendana na kasi yake na kustahili kula shavu lingine sehemu yoyote..
1. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (RC) au moja ya mikoa mingine.
2. Mkurungenzi Mtendaji wa moja ya Taasisi za serikali (Director General/CEO/Managing Director/...)
3. Mwenyekiti wa Bodi katika moja ya Taasisi ya Serikali (Board Chairman...)
4. Balozi (Ambasador/ High Commissioner....)
5. Waziri au Naibu waziri...(Minister/Deputy Minister..)
6....