With jambo kama hili, one thing which comes into mind ni kun possibility hii issue imekuw engineered n mwsho wa cku uncle sam aje kutoa resolution kwa ajili tu ya ku win public trust...! Maan it doesn't make any sense kwa hawa viongozi wote kuw na taarifa ambz haziendani hat kidg.
Kwanz ubuntu inatumia ext* file system..! Kuhus disk, Open terminal and type this command lsblk . Utawez kuon list ya disk. Hii command ni kam ya "list disk" ukiw una run diskpart utility kweny windows. Hope it helps kidg.
EZTV - TV Torrents Online Series Download | Official
Link hyo ya into the badland...! Any torrent client itahusik hapo(utorrent, bittorrent, bitcomet n.k)
Kwel, kabs hakukuw na haj hat ya yule mkurugenz kufany press conference...! Few qns za kujiuliza tena wa Tz, What were the economic benefits kwa hili...? Mamlak zifanye nini ili ndege kam hii iwez kutua ten hapa Tanzania as its destination..?
Upo sawa kabisa, na kila mtu mwenye uwezo kutathimi mambo anaweza akakuunga mkono..! Kitu kikubwa ambacho kinasababisha chuki hii ni kutokuchukuliw hatua kwa hawa askari ambao wasio na utashi. Kama hiki kingefanyika na wananchi wakawa wanathibitishiwa juu ya hatua hizi zilizochukuliwa ,Imani...
Just thinking. , these businessmen paid tax for these products , before these products get allowed to enter in Tz, TBS and all other authorities were involved in inspection. Now another authority has come to seize these products. Why the government is doing these stuffs to its citizen..!? Why...
I think ni vyema tukafaham your cv kwa ufup ili tuweze suggest what you can do with that 5M. It's better to start a business ktk kitu ambch u know vizur.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.