Into the badlands season 1&2 special thread

Dogo m.k kashajua sunny kaua mama yake,. Henry nae ni gifted boy km M.K. dah hii S3 h tamu dadek
 
hapana pale alikuwa anaota.

Iko hiv, m.k hana kumbukumb za maisha yake ya nyuma. Na hatukuoneshwa na alkuwa hajijui kama ana nguv mpk pale season ya kwanza alpokuw anapigana na mwenzake na alkuwa hawez kuzcontrol nguv zake, Season 2 akapelekwa sehem kujifunza kutumia nguv zake. Akakutana na yule masta m'mama hiv, akataka pia ajue nyuma yake ilkuaje. Yule mama akawa anampeleka mirror chamber then anamkata. Alafu inakua kama M.K anameditate anakutana na M.K yule wa zaman ambaye alikuwa hazicontrol nguv alkuw anaua., yule ndo akawa kam anmlazmisha kukumbuka jins maisha ya nyuma yalivyokuwa na jins gan mama yake alikufa coz yeye M.k alkuw anajua kipind alivyokuwa bad M.K ndo alimuua mama yake ila yule bad mk wa keenye meditation alkuwa anakataa na kumlazmisha akumbuke ni nani kamuua mama kama sio yeye. Ila ikawa hakumbuk bado. Ilpofka season hii ya 3 M.K kama kawa alipojidrug akawa km kaingia tena kwenye meditation kwa njia ya ndoto, jamaa akamwambia mk kujiua ni uoga na uoga huo upo ndani yake, akaanza kam kumkumbusha ilivyokuwa, ndo pale km kulkuwa na vita then mama yake akauliwa na sunny hapo mk km kwa uchungu na nguv zake dizain zkaoneshwa km zinaanza kurudi. Ila ile ilkuwa ni Kama revelation kuhusu kifo cha mama yake. Maana yule jamaa alimwambia mk kuwa kamuu mama na mk akawa anajilaum na pia akawa analzimishwa akumbuke, so pale kajua ukweli khs kifo cha mama yake
 
huyu MK baada ya kupigana na Denyo (daniel) alirudi kulala. akiwa ndotoni ,Kuna watu wanamuwania na wao wampate, Ghafla anaonekana Ibrahim akiwa na mkewe wanaelekea hazla
 
Hapana mzee M.K alipigana na Nathaniel then, badae alporud kweny chumba chake kuna dem alimtuma amletee dawa na sindano ajioverdose ili ajiue. Alpojidunga akawa kam kalala au kazima kwa mda ndio akaanza kupewa kumbukumbu za nyuma akiwa ktk hali hiyo. Mkuu umeiona kwel hii season 3 vzr
 
Ya wiki hii cjaichek sema nahis anaweza kumuwashia moto au asimwamin tena sunny
Hii nimeicheki dogo yupo njiani anatembea anamtafuta sunny, widow kaenda kwa pilgrim wakavamiwa na legent wa ile himaya ya wanaovaa nguo nyeupe wakakinukisha kinyama widow na pilgrim wakashinda wakaungana, Sunny na bajie njiani wakielkea kwa witch wakakutana na kipofu akawaibia mtoto wakamfatilia wakataitishwa, Nathaniel nae kipindi anamtafuta sunny akakutana na kipofu yule yule nae akamtaitisha akaenda kukutana na akina sunny wakaungana wakatoroka halafu wakataka wapigane ila wakanegotiate wakayajenga wakaelewana mwisho wa siku nathaniel akasepa zake kurudi kwa widow na sunny & bajie wakaendelea na safari
 
Sunny kazi anayo, na huyu dogo akiungana na pilgrim cjui itakuaje. Ila bajie ndo aliwapa signal pilgrim. Inaonekana ana mahusiano nao nahis inaweza ikampa sunny unafuu wasiwe na uadui sna na mk iwapo mk atakuwa na pilgrim
 
Yeah i awezekana
 
Bajie alitoa Signal akijua anawaita watu wa Azra na kama uliiangalia vizuri episode ya mwisho season 2 kuna submarine ilionekana ufukweni. Tatizo lililokuja signal imekuwa intercepted na The Pilgrim ambaye anaamini hakuna haja ya watu kwenda Azra ila wamuamini yeye!!..
MK anamtafuta Sunny amuue ana aamini ndio alimuua mama yake!. Lakini kumbuka son of azra (pilgrim) anaweza watuliza hawa the gifted so MK hana effect😀.
 
Aha kumbe bajie hakumaanisha pilgrim alipotoa signal. Bas nikajua ni alimaanisha hvyo, maana mwanzon huyu pilgrim alienda badlands kwa kufata ile signal. Na piapale dogo mk ataungana na akina pilgrim tuu coz wale gifted wawil wakike na wa kiume yule wa kiume inaonekana hana maisha sana ndomana yule priest akampa ile dira ya kumtafuta mwenzake ambaye ni mk,. Tamu sana hii seriez
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom