Recent content by dashi gonn kapa

  1. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Hebu cheka kidogo

    Ilitokea siku moja mida ya usiku, nimerudi nyumbani nikakuta msosi tayari, nikanawa maji, nikala, nikaenda kulala.
  2. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Eti hata wewe upo katika kundi hili?

    Yaani unapenda sana wanawake warembo je! Hao wasio warembo ni kwa ajiri ya nan? Majibu tafadhari
  3. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji ambayo ukiyasikia unacheka

    Nkotokiana,nakapanya_nachingwea
  4. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Majina ya vijiji ambayo ukiyasikia unacheka

    Co mpitimbi mkuu kunaitwa mpindimbi
  5. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Comment tucheke!

    Hata nisipo kua na chakukomenti kucheka ni mb zangu tu hapa
  6. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Mluguru Na Mpita Njia!

    Au mb 3
  7. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

    Punguza ukari wa maneno kijanj au ulitaka akuchore!
  8. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

    Itakua umezaliwa 96
  9. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnatia aibu

    that's Pointless!!! kama mtu amepatwa na matatizo au kapatwa na maswali alafu akarepresent kwa sehemu ambayo kuna watu anao amin watamsaidia haina maana eti ni madman au uwezo wake wa kufikiri ni mdogo,uenda kunamtu miongon mwa ao watu walishawai kukutana,kusikia au hata kuyaona ayo so...
  10. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

    Kweeeeeeeli kabisa ila itakua mke wako hakupendi ndio maana
  11. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini macho yako hii married couple walipanga kulipua bomu kigaidi

    Hamna link we hizo habari umezitoa wap
  12. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokuangalia jicho la wizi, anakua na maanangani?

    Hapo inaonyesha kua yule alikuangalia anatal mawasiliano kwa namna moja ama nyngine mkuu so jukumu ni lako
  13. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

    Sasa kama una magar cju majumba kunasababu yoyote wewe kujiexpose?kwa kuvitaja ivyo vitu alafu unasema eti kumbe watanzania ni wa al ya chn wapi ambako hakuna watu wa chini acha ulimbukeni wewe
  14. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Haya Ni Maamuzi Binafsi Ya Harmonize

    Haina haja ya kucritisize wakati umuhimu kauona na ni yeye kaamua kutokana na msaada na fadhila hajalazimishwa basi ni kitu cha umuhimu kwake apewe tiki kwa kushukuru kwa njia mbadala shukuran ndio kila kitu bana
  15. dashi gonn kapa

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pia mumesahau kua juzi ilikua mwaka mpya
Back
Top Bottom