Recent content by Darwin Nunez

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

    Kombe la dunia halinogi vibanda umiza
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

    Wakuu Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hivi mtaonesha kombe la dunia kweli,, mtuambie maana mmekaa kimya kule dstv wanaitangaza kila siku
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serkali kutangaza matokeo ya sensa 31 Octoba

    Sote tulishiriki, tukahesabiwa, sasa ni wakati wa kufahamu matokeo. Tarehe 31 Oktoba, 2022 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Nyote mnakaribishwa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

    Wacha kuchanganya goba na vitu vya kijinga
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukifuatilia anachofanya Manara ndo utajua umuhimu wa Ukristo kuruhusu ndoa moja tu kwa mwanaume na mwanamke

    Kama unaona hao wanawake wanafaidi sana, olewa wewe
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumfungulia biashara ya Salon

    Jf ya siku hizi watu watu ni wabinafsi muno Huwezi waona hapa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Alitop TV vs Boss TV; Kampuni gani unapendekeza ninunue?

    Wacha uswahili Mtu ametoa machaguo yake, wewe unamlazimisha tv asizopenda ndio zichaguliwe
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

    Tozo ya bibi iko wapi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

    Uko sahihi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya namba yako isipatikane huku simu ikiwa ON :

    Kama sihitaji kuwasiliana na mtu huwa najiamini sana, naweka simu silence ukipiga sipokei na nikapokea hata kwa bahati mbaya nakata, pia sms sijibu sio wasap wala za kawaida Hii naweza ifanya hata mwezi mzima na siku nikirejea katika hali ya kawaida hakuna mtu nitamuelezea sababu na ndiyo maisha...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

    Unapata kibali wapi kuwapiga watu picha bila idhini yao?
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Miaka 8 sasa, vipi alipiga?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Idea; kuanzisha kituo cha mafuta ya kula

    Unapokosoa wazo la mtu mwingine wewe toa wazo lako bora zaidi nawe upimwe hapa All in all kama jamaa akijipanga anaweza kukuprove wrong
Back
Top Bottom