Recent content by Darmian

  1. Darmian

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kwa haya yanayoendelea na huu usalama wa taifa bure kabisa
  2. Darmian

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Acha tututisha kibwege..raia namba moja ndo nini..Rais inabidi aongoze nchi kwa mujibu wa Katiba and nothing else..raia namba moja ndo nini??
  3. Darmian

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaenda bar na maeneo ya starehe?

    Mkuu unaweza kudefine ulevi kwa uelewa wako??
  4. Darmian

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Friendly Vs PSG Msimu huu naona ni wetu..au bado nini wakuu
  5. Darmian

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Hadi vibaka wa daslam wamekaa nalo mbali??
  6. Darmian

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nipo Majukumu tu yanabana..na pia timu hapa katikati kukosa mvuto
  7. Darmian

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Joshua Zirkzee scores Rosenborg 0- United 2 59"mn
  8. Darmian

    JamiiForums Tanzania Wachumi: Leo Taifa limepata hasara kiasi gani? CCM siyo sifa, hiki mnafanya ni upumbavu

    Sababu kubwa ni kuogopa kupigwa risasi ya kichwa bila sababu na hawa policcm kama walivyokuwa wanafyatua risasi hovyohovyo 29/october.
  9. Darmian

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Fiber ya kampuni gani hii?
  10. Darmian

    JamiiForums Tanzania Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Kupanga chumba na choo nayo ni big deal?
  11. Darmian

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Back in 2023 huu uzi ulikuwa kama madawa ya kulevya kwangu.. Nashangaa leo 2026 nakutana nao bado unatembea
  12. Darmian

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kukimbizana na wanawake, ni process inayokula nishati na mentallity yangu, nifanyeje kuikamilisha hatua hii ?

    Uliposema anal ndo nikabaki kinywa wazi.. Tutoke huko..hakuna lolote la maana zaidi ya kupoteza nguvu na hela
Back
Top Bottom