Recent content by Darleen

  1. Darleen

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe nongwa viongozi wakuu kupandishwa bus la pamoja UK?

    Ki usalama sio sahihi hata yu msafara kufuatana kwa karibu akitokea mshenzi mmoja akapiga bomu hilo basi afrika nsima inaingia kwenye shida, kumbuka rais ni anaiwakilisha nchi yake. Kwa hivo africa karibu yote iliwekwa kwenye hako ka bus. Nikuulize tu kwa nini marais wa supperpower hawakuwemo mle
  2. Darleen

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wanaagizwa kupeleka matofali ikiwa kama adhabu wanapofanya makosa shuleni

    Kama tofali zinajenga madarasa hamna shida ila kama mwalimu zake hapo kuna shida. Tuliosoma zamani tunakumbuka EK tulikuwa tunapigika hasa
  3. Darleen

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa; Usafiri wa Ndege ni wa haraka na hovyo kabisa

    Wakuu jiwape siri tu ndege ikiwa juu ipo salama kuliko ikiwa inatua ama kuruka ama ikiwa chini. Ndege ikiwa imepaki ukija upepo wenye speed karibia saaa na za ndege huwa zinarukaga zenyewe. Mimi huwa sina wasiwasi na muda mwingi hasa usiku huwa nalala safari nzima. Wataniamsha wakati wa...
  4. Darleen

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa; Usafiri wa Ndege ni wa haraka na hovyo kabisa

    Jet ni luxury ila ni hatari sana inaezarudishwa chini na mwewe tu
  5. Darleen

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa; Usafiri wa Ndege ni wa haraka na hovyo kabisa

    Bombadia ipo stable sana mkuu ndege zote za turbo prob ni salama kuliko jet
  6. Darleen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Kwa wife ilikuja kama kohozi likakatalia kwenye koo halimezeki halitemeki Huyu wa pili nlijikuta tu baada ya kunogewa ila aoishaniomba mara nyingi tu nikamwambia sikuamini. Limekuja kohozi ila sio kubwa kama la maanzo but kuna hali flani ya vidonde mdomoni inakuja na ladha ya uke chumvichumvi...
  7. Darleen

    JamiiForums Tanzania Watanzania mliokuwa mnamtukana Hayati Magufuli mkaungame na mkaombe msamaha kaburini kwake

    Nimesoma makala moja humu ni dhahiri tunaendeshwa na mabeberu tena wametukalia mabegani. Kipindi cha stiglers goj sijui george nlitaka kushawishika kuwa mradi ule ulikuwa unaharibu mazingira, ila niliangalia faida za kuwa na bwawa kuba la umeme ni nyingi kuliko kutunza mazingira ya eneo lile...
  8. Darleen

    JamiiForums Tanzania Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Jeshi ni ndoa ya kudumu. Labda ujifanye chizi
  9. Darleen

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Nenda veta na pikipiki yako utafundishwa. Upo mkoa gani
  10. Darleen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Nishajaribu mara mbili hii kitu kwa wanawake wawili tofauti. Mmoja ni wife nlifanya kwa hiari yangu, mwingine mchepuko huyu aliomba mpaka akawa analilia. Sitorudia tena kwa wote nlipata madhara
  11. Darleen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

    Hivi alowamboa tunaotunza watoto ni nani kama umeweza kuzaa kwa nn wewe usitunze mwanao
  12. Darleen

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Hayo mambo huwa akili za wazungu tu hamna vitu kama hivo
  13. Darleen

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia za kufanya mtu kurefuka

    Ya kupaka tu kwenye unyayo
  14. Darleen

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia za kufanya mtu kurefuka

    Kama upo serious tuonane inbobo nikuagizie ila uje na mzigo unaoeleweka
  15. Darleen

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia za kufanya mtu kurefuka

    Njoo inbox
Back
Top Bottom