Recent content by Darius RR

  1. D

    JamiiForums Tanzania Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

    Una psychological problems. Jitafakari.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Huu ndo uzuri wa game hii, pimbi anajiita fundi.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

    Duh! Utakuta wewe ni mwanaume eti!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wanafizikia nisaidieni NECTA FORM 2, 2019 kuna swali lenye majibu ya kipuuzi

    Darasa la kwanza mpaka la tano; 3 - 7 = haiwezekani. Kila kitu na level yake.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Binafsi sitaiona/sitaiangalia.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya vetting ya viongozi nao wafanyiwe vetting

    Hahaha, Popoma wewe ni think tank, sema una kiburi cha ujuvi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Noma sana, kuna kazi nimefanya naye mwaka jana, ni mtu powa sana huyu dada. I hope atavuka katika kipindi hiki kigumu.
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

    Hii ni sehemu ya maandishi yako kwenye thread uliyosema hutakiwi kuzidi miaka miwili kwenye uchumba
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Bila kusahau viuno feni.
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Hongera kwa jamaa kurudi. Ushauri wangu; hakikisha unaliwakilisha taifa vizuri ili iwe njia kwa mabinti wengine wa Kitanzania. Kwenye mpira, michezo mingine, uchumi, elimu kote tumefeli, tunaomba kwenye hilo utuwakilishe vilivyo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kumhudumia mtu mwenye mahitaji maalum

    Yeye anatakiwa awe na kilo ngapi?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

    Kusonya sonya siyo tabia za kiume.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

    Yes, mimi pia kuna muda naangalizia game pale.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dogo sisco ashindanishwe na Yasini kwenye draft

    Pembeni ya gorofa wanaloonyesha mpira au siyo?
Back
Top Bottom