Tz politics there are 2 groups. ..those followers of logic and followers of masses.
And this 2nd group is very unpredictable they mayvbe truly known 1hr b4 voting time.
Hapa ndio kipimo cha demokrasia, Tanzania ijue macho ya walimwengu yapo kwetu kipindi hiki kujua utashi wetu wa demokrasia na utekelezaji wake. Watawala watambue hili.
(Copy n paste from Whats app group)
Naandika waraka huu uwaendee makada na wafitini walioko CCM.
Wanatunga fitna kuwa CHADEMA ni chama cha ukabila na cha watu wa kaskazini...Huu ni upuuzi mtupu usiokua na hoja ya msingi.
Hivi mm na ww tuulizane kipindi ww na mm tupo shule hapa naamanisha wale...
Hii nchi Uhamiaji wanachangamoto sana.
Kuna hawa watu wanaoitwa Expatriates ...mikataba yao ni 2 yrs lakin kuna ambao wapo hapa 4 more than 10 years doing same things....while post hizo wabongo tunazimudu.
Ufanisi uko wapi hapa....nahisi rushwa ni chanzo
Mtaji sio pesa tu:
Haya kupunguza wingi wa maneno chukua neno la kishujaa hili.
Hapo mtaani kwako unapoishi naamini kuna banda za Tgo/Mpesa nyingi tu....oky take a move zoeana na mwenye biashara anzisha uswahiba then hiyo mishen ikikamilika andaa bango linalo-sate " Fundi umeme anapatikana hapa"...
Main mission ni CCM out.
Hizo nyingine ni minor kwa sasa so UKAWA wametumia opportunity iliyokua mbele yao kuongeza wafuasi...hayo mengine baadae...swala la kuwa makini ni EL asibebe uenyekiti wa chama
Kuna zile mbinu mtoto mlifahamiana night club lakin gafla mabadiliko xxL mara anaimba kwaya....fellowship hakosi...mara na yeye shabiki wa mpira ...huja kaa sawa anakua mwepesi kukuomba msamaha hata kama wewe ndio unakosa...fasta ameshajishusha....geto wkend hakosi dk 0 ameashafua nguo zote...
Kuna watu vichwa panzi kweli wanahoji vitu kwa ushabiki wa hali ya juu.
Think out of the box fella.
Kuhama kwa Ndg. EL na kugombea uraisi CDM inaonyesha ukomavu kisiasa.
Kwanza inaprove haki ya mwanachama ndani ya CDM kuwa bila kujali muda wako kwebye chama bac wote mna hadhi moja.
2. Inaonyesha...
Na wewe una mtazamo hasi kama ID yako. Ufanisi wa Lugha umeingiaje hapo??
Tafsiri yako haijajibu swali....rejea swali ujibu kama huna la kuchangia "shut up" ( sauti ya Lowasa )
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.