Mbinu ni nyingi tu japo sio lazma zifanikiwe pia
kuna kuacha kitu kimoja kimoja leo pichu, kesho kanga, nguo hatimae zubeda yote unaibwaga geto
kuna kubeba mimba japo hii ni risk sana make kuna kutelekezwa don't try at home
kuna kujihamishia ukweni kama umekatika mshipa wa aibu lakini na una roho jiwe
kuna kumhonga honga mwanaume pia hii rushwa ya ndoa risk pia make waweza honga kumbe nae anaenda kuhonga
Wengi wakiona hausomeki, anakutegeshea mimba.
Khaa!! bana hata Kiswahili hujui? Kuna kuoa na kuolewa. Anayeanzisha huo mkataba basi ujue anataka kuoa. na anayekubali huo mkataba ujue amekubali kuolewa. Sasa ni uamuzi wako mwenyewe kama uoe au uolewe Full stop:glasses-nerdy:Alivyosema Kaboom nakubaliana nayo sitilii shaka mtazamo wake.
Ila naamini mabinti wanateknik zao kutushika tuweze kuingia kifungoni mapema.
Hizo ndio nataka kuzijua
ndoa hailazimishwi. Ndoa is something which comes automatically. Utalazimisha harusi lakini si ndoa. Ndoa ya kulazimisha ni ndoano. Lazima utateseka tu
Khaa!! bana hata Kiswahili hujui? Kuna kuoa na kuolewa. Anayeanzisha huo mkataba basi ujue anataka kuoa. na anayekubali huo mkataba ujue amekubali kuolewa. Sasa ni uamuzi wako mwenyewe kama uoe au uolewe Full stop:glasses-nerdy:
Mbinu ni nyingi tu japo sio lazma zifanikiwe pia
kuna kuacha kitu kimoja kimoja leo pichu, kesho kanga, nguo hatimae zubeda yote unaibwaga geto
kuna kubeba mimba japo hii ni risk sana make kuna kutelekezwa don't try it at home
kuna kujihamishia ukweni kama umekatika mshipa wa aibu lakini na una roho jiwe
kuna kumhonga honga mwanaume pia hii rushwa ya ndoa risk pia make waweza honga kumbe nae anaenda kuhonga
Oooh kuna watu wanahamiaga ukweni mamy, ila ndo hadi uwe nati iliyolegea kichwani mi siwezi hiyoHahaha "zubeda" ndo kitu gani? Sasa unajihamishia ukweni ndo kuna mumeo kule au?
Mi nimeangalia muda uliopost hii matirio tu baaaas.
Mjadala na uendelee. Maana hautuhusu sisi wazee wa 1947 ambao tuliletewa wake nyumbani na wazazi wetu.
Hahaha kumbe ile mifuko ya sulphate mikubwa, wengine wanaitaga "shangazi kaja"Oooh kuna watu wanahamiaga ukweni mamy, ila ndo hadi uwe nati iliyolegea kichwani mi siwezi hiyo
zubeda ni ile mifuko ya sulphate ina majina mengi "zubeda" "mjomba kaja" n.k
kwenye movie za kinigeria mwanamke akitimuliwa basi huo mfuko ndo unarushwa nje ha ha ha hope umeujua
Naaam hizo hizo mi nazijua kwa jina la zubedaHahaha kumbe ile mifuko ya sulphate mikubwa, wengine wanaitaga "shangazi kaja"
Hao wenye nati zilizolegea wajipeleke tu kwa hao wakwe. Afu bado mwisho wa siku atakuja kuolewa mwingine pamoja na kujibembeleza kwao. Kama ni wa kuolewa utaolewa tu mbona khaaa
Babuu upo?
Raia wema both Kaka & Dada ni mbinu gani mwanamke anaweza kutumia kushawishi au kushinikiza boyfriend au mchumba wake amuoe?
usisahau wale waliopigwa ngwara kwenye migomba wakati wa sikukuu ndio wake hadi leo