Mwanamke hutumia mbinu gani ili aolewe?

Mwanamke hutumia mbinu gani ili aolewe?

Mbinu ya ulaghai, ya kukuweka wewe kwanza kwenye kila kitu na kukuaminisha hakuna mwingine kama wewe. Ila unajua wanao olewa au oa ni wale ambao hata walikuwa hawana habari na mipangi hiyo.
 
Mbinu ya ulaghai, ya kukuweka wewe kwanza kwenye kila kitu na kukuaminisha hakuna mwingine kama wewe. Ila unajua wanao olewa au oa ni wale ambao hata walikuwa hawana habari na mipangi hiyo.

Aiseee hii mpya
 
Bila kusahau safari za kwa babu. Hii ndio latest kwa sasa. Ukisha mweka ndani ndio unashangaa hivi ilikuwaje nikamwoa huyu mwanamke...Ndumba hatari
 
Bila kusahau safari za kwa babu. Hii ndio latest kwa sasa. Ukisha mweka ndani ndio unashangaa hivi ilikuwaje nikamwoa huyu mwanamke...Ndumba hatari

Hahahaaaa!!
Na Zawadi kwa wakwe...mixa gunia la mchele, Kitenge....hapo utamweleza nn bi mkubwa ukimwacha huyo binti??
 
Mmmh hao wanaume wa kulazimishwa wako wapi na unaanzaje kwa mfano? Labda uwe na baby boy kama nuhu mziwanda ndo utamlazimisha
mbona mnapenda kumnyasanyasa nuhu mziwanda...nuhu mziwanda ndo defination ya mahaba ujue lol
 
mbona mnapenda kumnyasanyasa nuhu mziwanda...nuhu mziwanda ndo defination ya mahaba ujue lol
Hahahaah ndiyo ana mahaba Sana kwa "gelo friend"wake. Mtu mwenye mahaba kama nuhu, ukimlazimisha akuoe wala hakatai eti
 
Kuna baadhi ya vitu mwanamke anaweza kuvitumia kukushawishi na wala si kukushinikiza na hasa kama anaona mko kwenye hatua za uchumba lakini husomeki. Kwa mfano, anaweza kumtumi mwanaume au mvulana ambaye ni rafiki yake lakini siyo urafiki wa kimapenzi. Huyu mtu anachofanya ni kumtumia ujumbe kwenye simu yake kwa kumsifi, jinsi alivyo mzuri, alivyomkarimu hivyo angemuomba ampe nafasi awe mke wake. Anamtumia sms hizo mara kwa mara kisha huyo msichana anakwambia kuwa kuna mtu anamsumbua kwenye simu, anakuonyesha hizo sms uzisome, pia anaweza akakuachia hata simu yake ukae nayo hata wiki huku akikupambanisha na huyo jamaa. Kama husipogundua mtegoo huu unaweza ukaona kuwa hakuna mwanamke mwaminifu kama huyu hivyo ikakushawishi uharakishe taratibu za ndoa. Njia ya pili ni chakula pamoja na heshima, wanaume tunapenda kula chakula kizuri pia tunapenda heshima. Ukiwa kila ukimtembelea mpenzi wako au akija kwako anapenda aandae chakula nyumbani badala ya hotelini, na zaidi huyo mwanamke akiwa ni mjuvi wa mapishi, hii inaweza kumshawi mwanaume hasa mwanaume mwenye nia ya kuoa japo hakuwa tayari kwa wakati huo. Siyo kila mwanaume anaweza kunaswa kwa njia hizi, ila baadhi ya wanaume waweza kunaswa.
 
Dah demu wangu mm hataki kabisa kwenda nyumban Kwa wazee wangu na cjui Kwa nn?
Ila ana ujauzito Wang so na kwao cjaenda na yy hana wasi wasi na mm.
 
Mbinu ni nyingi tu japo sio lazma zifanikiwe pia
kuna kuacha kitu kimoja kimoja leo pichu, kesho kanga, nguo hatimae zubeda yote unaibwaga geto
kuna kubeba mimba japo hii ni risk sana make kuna kutelekezwa don't try it at home
kuna kujihamishia ukweni kama umekatika mshipa wa aibu lakini na una roho jiwe
kuna kumhonga honga mwanaume pia hii rushwa ya ndoa risk pia make waweza honga kumbe nae anaenda kuhonga

hahaha hapo kwenye kuacha kitu kimoja kimoja
 
Back
Top Bottom