Recent content by DaPilly

  1. D

    Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

    kilio cha wengi wetu cc wanawake ni uzinzi ulopitiliza kwa wanaume mengine yote yanazungumzika wanaume mmeumbwa mwanaume mmoja awe na wanawake 10 shida inaanzia hapo kwenye maumbile, hako katabia ni ka maumbile shida si usomi, kama unaona mkeo msomi anakusumbua watoto wako wa kike piga chini...
  2. D

    Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

    Dah, wotehao siku hizi hawapo, utafiti wangu wenye risachi ndogo 50% ya wanaume wetu hawa hawajui kununua ila pia wote hao wanajua kuwa wanasaidiwa!
  3. D

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    bandugu balikuwa banatafuta ngómbe ba maziwa haba!!!!
  4. D

    An Open Letter to My Mom

    Hii barua isiende utaua, am telling you the true, for God's sake dont post this open letter of yours.
  5. D

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    why not we huoni amekuwa mkweli, wanaume almost wote wanawazaga hivo hivyo tu, tofauti huyu ni mkweli.
  6. D

    Rais kama hutochukua hatua za ziada kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART), basi tujiandae kwa maombolezo

    Huu mradi mi naona kama kuna watu wazito wameweka pesa wamenunua mabasi hayatoshi, hayatengenezwi, management inashindwa kufanya maamuzi wenye magari yao hawasemwi hawashauriki mradi unabomoka hawapewi mshindani nissssiiiida!!!!!!!!!
  7. D

    A letter to my future lover

    ah sorry, nilicommnet nimeona like ulikosea grammer, nilmsema mdada alieleta uzi bandugu!
  8. D

    An Open Letter To My Ex.

    Hii kitu imeokotwa online imerushwa hapa, mapenzi haya siku hizi hayapo.
  9. D

    A letter to my future lover

    Naomba usimdisqualify aliekosea grammer, I am worried atadisquaify hata wanaokosea grammer, my dear sawa unachofanya ila hii plaform sijui kama itakupatia the right man
  10. D

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Kwani yeye hana kasoro zake, wanaume kuweni wastaarabu, Ikishaitwa ndoa maan yake watu wawili wa jinsia tofauti wanaopendana wanaoana, kasoro kasoro lazima ziwepo sababu hao watu wazazi wao ni tofauti, mazingira waliyokulia (familia, shule na mtaa/mji/mkoa) ni tofauti na pengine shule walizosoma...
  11. D

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Hukukosea kuchagua wala kuoa, umepata mke mzuri hujijui, asingezaa ungesemaje, watoto wameharibu shepu ya mama unamaindi, duh??? H.A.T.A.R.E.
  12. D

    Najuta kuacha kazi

    Kama umesoma we tafuta kazi kimya kimya tu usimwambie kama unatafuta kazi, ukipata ataamua mume au kazi, siku nyingine utajua kama maharage pia yanaweza yakawa chakula yakapikwa yakatiwa nazi na sukari watu wakala na uji au chai, shen.. taip!!
  13. D

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Hongera umekuwa muwazi, wanaume wengi hilo linawaokea sana, pole sana, ila kwa mwanamke ukishazaa ile load ya kubeba mimba inaacha scar ya tumbo kubwa, especially kama mama alizaa kwa kisu au alilishwa vizuri alipokuwa amejifungua ama hakufunga tumbo. Kwa watoto watatu kuzaa peke yake kunaharibu...
  14. D

    Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

    mh, nahisi kama kaka haongei maneno matamu mdomoni mwake, nahisi lakini, ni kulalamika tuuuu, domo la kumnogesha bidada limejaa zege, I insist, I THINK!!
Back
Top Bottom